Mwandishi wa STAR TV ajuta kumfahamu Joseph Mbilinyi

Kama SUGU aliibiwa "kura" na anao ushahidi kuwa uchaguzi ulikuwa rigged, kwanini hakufungua kesi mahakamani??

Tumewahi kushuhudia matokeo ya Ubunge yakipingwa mahakamani na wapinzani wakashinda, mfano ni Godbless Lema mwaka 2010 rejea kesi yake na Batlida.

Sasa hawa wanaopiga kelele kuwa uchaguzi haukuwa wa haki kwanini hawakwenda Mahakamani kudai haki zao??????????????????????

Wanafiki wakubwa!!
 
Angepeleka kesi kwenye mahakama gani? Hii iliyokuwa ikitoa hukumu kwa wapinzani zinazotolewa kwa kumwogopa jiwe? Hukumu zenyewe hizi zinazopukutishwa na mfumo wa haki wa sasa? Ndio ulitaka apeleke mashtaka huko?
 
Hoja yako ni dhaifu sana.

Mbona hao akina Mbowe walikata rufaa walipohukumiwa kulipa fidia baada ya zile vurugu za Kinondoni. Je, hiyo rufaa walikata wakati wa utawala wa nani?
 
Back
Top Bottom