Mwandishi wa STAR TV ajuta kumfahamu Joseph Mbilinyi

Mahakama zipi wakati wa jiwe?
 
Kwenye mahakama gani?
 
Yafaa ujipe faraja ya kweli bila kujidanganya.
 
Elewa kiswahili hata kama una mahaba na jiwe. Rufaa haitegemei hata kama unaekata rufaa kwake ni shetani. Rufaa inatoka kwa mtu sio kwa mkatiwa rufaa. Get that into your thin head. Yule ameondoka tayari kila kitu kitaenda kwa haki sasa
 
mahakama zipi mkuu?
au unazungumzia mahakama ile ya magufuli iliyo wabambikizia kesi watu.
 
Kwenye mahakama gani?
Acha kuniuliza maswali ya kitoto wewe. Huyo Sugu alipohukumiwa wakati ule hakukata rufaa na kushinda kesi? Je, hiyo ilikuwa mahakama ya Mbowe au ilikuwa chini ya utawala wa Magufuli??

Acheni kujitoa ufahamu. Mahakama zimekuwa zikitoa haki pale penye haki miaka yote tangu uhuru mpaka leo.
 
Elewa kiswahili hata kama una mahaba na jiwe. Rufaa haitegemei hata kama unaekata rufaa kwake ni shetani. Rufaa inatoka kwa mtu sio kwa mkatiwa rufaa. Get that into your thin head. Yule ameondoka tayari kila kitu kitaenda kwa haki sasa
Nonsense!
Mimi siongelei mambo ya Magufuli naongelea judiciary system.

Acheni maisha ya kukariri ujinga na kushikiwa akili na wanasiasa wahuni.
 
mahakama zipi mkuu?
au unazungumzia mahakama ile ya magufuli iliyo wabambikizia kesi watu

mahakama zipi mkuu?
au unazungumzia mahakama ile ya magufuli iliyo wabambikizia kesi watu.
Huna hoja wewe.

Magufuli alikuwa hakimu au Jaji Mkuu?

Acheni kukaririshwa ujinga ninyi . Hivi kweli mtu kama Mbowe aibiwe kura na ushahidi anao asiende mahakamani???

Mtu kama Zitto Kabwe apoteze jimbo lake la Ubunge kwa kuibiwa kura na ushahidi anao asiende kweli mahakamani???

Mtu kama Halima Mdee akamate ushahidi halafu asiende mahakamani? Seriously????

Ninyi misukule ya CHADEMA tumieni akili zenu vizuri. Hao wahuni akina Sugu hawakuibiwa kura, walipoteza kihalali kabisa lakini wanaona aibu kukubali kushindwa wanaishia kuwaaminisha ninyi misukule kuwa walidhulumiwa.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ Saccos ya Mbowe, kila uchaguzi mkishindwa unakuwa sio uchaguzi tena. Hakuna genge la hovyo kabisa, kama ya huyu faru John.
 
Hivi umeishia darasa la ngapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…