Mwandishi wa STAR TV ajuta kumfahamu Joseph Mbilinyi

Nonsense!
Mimi siongelei mambo ya Magufuli naongelea judiciary system.

Acheni maisha ya kukariri ujinga na kushikiwa akili na wanasiasa wahuni.
Judiciary system iliyo heavily politicized unaiita judiciary system. Judiciary system iliyominya na kupora haki za watu. Judiciary system ambayo Sasa inakuwa criticized proper regimes zilizopo Sasa zinazotambua justice Nini sio ule utopolo wa past five years. Kwa akili yako hii mbovu nakuona unavoweza kusoma mbele za watu ukasema tulikuwa proper system. Imbecile
 
Kama mnao ushahidi kwanini hamkwenda mahakamani kufungua kesi???
Hilo ndilo swali langu la msingi.
Ushahidi upo. Mahakama ziliminywa na yule dictator uchwara. Huwezi kupoteza muda kwa jambo linalojulikana matokeo yake.
Ccm ilipora uchaguzi 2021.
 
Kama ambayo European union hawawezi kukaa meza moja na Putin, hivyo hivyo Sugu hawezi kaa meza moja na Tulia.
Tulia is a thug.
 
Ushahidi upo. Mahakama ziliminywa na yule dictator uchwara. Huwezi kupoteza muda kwa jambo linalojulikana matokeo yake.
Ccm ilipora uchaguzi 2021.
Hoja dhaifu hii.
Tuambie ni kesi gani ya uchaguzi iliyofunguliwa halafu ikatupiliwa mbali ilihali ushahidi upo?
 
Tangu nizaliwe zaidi ya miaka 40 iliyopita sijawahi kuona uchaguzi wa kishetani kama ule wa 2020. nafikiri ile dhambi ilimuudhi sana Mungu kiasi cha kutovumilia tena yule aliyeamuru uchafu ule aendelee kuishi.
Tulionya mara kadhaa kwamba Mungu hataniwi lakini tukapuuzwa
 
Tulionya mara kadhaa kwamba Mungu hataniwi lakini tukapuuzwa
Kwa kweli ukitafakari kwa kina hupati jibu la haraka. Kuna watu wamefia gerezani eti wamemsema mitandaoni tu. Jamani! Unyama gani ule? Yaani kweli unaamuru binadamu mwenzako apotezwe jumla hata ndugu zake wasimzike! Unaamuru watu wauawe na kusokomezwa kwenye viroba! Unaamuru binadamu mwenzako amiminiwe risasi kama nguruwe pori! Unyama ule Mungu hangevumilia. nchi hii ya Tanzania ni ya tofauti sana. Ukianza kuzingua na kujifanya mwamba utafutika kama kivuli tu
 
Hao star tv hawajielewi, unawaalikaje wavuta bangi kwenye kipindi Cha heshima Kama hicho?
Naona hakujua Kama Sugu anapuliza cha Njombe. Huyo Sugu ni mtu mzima ambaye alistahili kuwa wa busara, lakini bado ni mtu wa kucheza na teens mitaani. Aseme nini kwenye mahojiano?
 
Nimesoma mpaka level ile aliyoifikia Mwenyekiti wa chama chako.
Bora ungekuwa nayo hiyo kuliko sasa inavyoonekana una elimu ya degree toka mwalimu nyerere. Ukifaulu kwa kudesa . Huelewi hata mazingira yanayokuzunguka??
 
Mnafiki utajua kwa kulamba nyayo za mabwana zake kama jiwe ili kupalilia uteuzi!
 
nani Chadema?
hv kila aliye mpinga huyo meko alikuwa chadema?

bora Mungu alituondolea ile takataka
 
Ule Ulikuwa ni zaidi ya ukhanithi ,halafu Yule kum* WA chato bila aibu anasema niombeeni , ***** , Mungu hadhihakiwi
Dhibiti hasira tafadhali usije ukakosa ustaarabu ukatamka maneno yasiyoendana na hadhi na heshima yako uliyoijenga muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…