MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Nadhani KAtunzi anatupa fundisho kubwa hapa kwetu........ wapi vyombo vya habari?? Why are they affraid to say the truth? Nimekuwa nikifuatilia mahojiano, press conferences za media people ninaona kabisa kuna maswali wanauliza ambayo ni ya msingi kabisa but when it comes to reporting ni kama vile wanaogopa..............iweje mtu wa nje aone hili ambalo limeonwa na kila mwenye ufahamu makini alizungumzie kwa uhuru kuliko vyombo vyetu|?? Wapi ITV, wapi TBC, wapi Sakina Dutoo, Ayoub Ryoba......... wapi Kajubi Mukajanga??? Je Tanzania vyombo vya habari viko huru?? are they independent??
I just wonder
I just wonder