Mwandishi William Ngazija wa ITV akamatwa na Polisi mkoani Tanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa zinaeleza kwamba Mwandishi huyo anayeripotia ITV kutokea Mkoa wa Tanga , amekamatwa na Polisi wa Korogwe na kulundikwa Sero kwa Amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo , Ambaye pia ni Mlimbwende wa Tanzania wa miaka iliyopita Mtukufu Basila Mwanukuzi .

Bado haijafahamika kosa lake

Chanzo : Kitenge TV
 
Mpaka kufikia kupata cheo alicho nacho lazima awe mmama ama afanane na mmama mkuu [emoji23]. Wanachakazwa sana!

Hahah!!!

Hapana, ana tabia nzuri sana...pamoja na kuwa alijihusisha na ulimbwende kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…