Mwandishi William Ngazija wa ITV akamatwa na Polisi mkoani Tanga

Clueless leaders deal with personalities.
Hivi ana bwana huyu ?
Kwanza u miss wake Kama mnakumbuka uligubikwa na contaversy eti kulikua na rushwa.
Correct me if I am wrong.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
#BreakingNews
Jeshi la Polisi Korogwe linamshikilia Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Runinga @ITVTANZANIA William Ngazija kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya hiyo ya Korogwe Bi. Basila Mwanukuzi.
 
Halafu hawa watoto wanadhalilisha watu wazima na taaluma zao kisa vyeo vyao, ndio tatizo la kutoka kuwa mwendeshaji saluni na ulimbwende kwa miaka mingi na ghafla bin vuu kuwa DC sidhani hata kama amewahi kufanya kazi yoyote ambayo ana utaalamu nayo.
 
Clueless leaders deal with personalities.
Hivi ana bwana huyu ?
Kwanza u miss wake Kama mnakumbuka uligubikwa na contaversy eti kulikua na rushwa.
Correct me if I am wrong.
Alikuwa saluni yake pale kwao Victoria aliajiri mzaire mmoja hivi hajui hata muongozo wa kazi ukoje, sijui connection hii ya uDC aliipataje au ni Ummy?
 
Sababu ya kukamatwa nini? Au alikata kumpa mbususu DC.

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Mkuu, kale kadada kakwapi sikuizi? Ufosaro
 
#BreakingNews
Jeshi la Polisi Korogwe linamshikilia Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Runinga @ITVTANZANIA William Ngazija kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya hiyo ya Korogwe Bi. Basila Mwanukuzi.
Kwani umelazimishwa kuandika?
 
Mtukufu?
 
Bora kakamatwa hao ITV na Radio one wanamrushaga Mwaipaya na Gondwe wengine wanawasahau.
Sasa maDC wamemind. Inaonekana DC alifanya kiki halafu haikurushwa hewani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…