Hawa watu wammejijengea utaratibu ambao sio rasmi, unawatesa sanaKila Zama na kitabu chake!
Kuna platforms mingi za kuwasilisha kile alichonacho, sio lazima aonane na rais ana Kwa ana!
Atulie ajilie pensheni
Mwandosya yupi? Aliyeuza ttcl ?? Au aliyejiuzulu ukatibu mkuu na kurudi kufundishaMwandosya syo profesa aliyeokotwa jalalani kama yule mpuuzi wa sjui tabora, ametia aibuuu
Achana na mpiga ramli huyo. Mwandosya na Magu walikutana huko Tukuyu na wakaongea vizuri tu.Wazee Uwa Wananishangaza Sana
Mtu Umekuwa Waziri Zaidi Ya Miaka 15 Unabembeleza Ili Iweje ?
Mtu Umekuwa Mtumishi Wa Umma Toka Miaka Ya 80 Uko Bado Unabembeleza Vyeo?;,
Profesor Mzima Si Ukae Tu Na Wajukuu Ule Pension( Ulichovuna)
Vijana Watafanya Kazi Gani Kama Wazee Bado Wanataka Fulsa Za Kubebwa?
Mwandosya yupi? Aliyeuza ttcl ?? Au aliyejiuzulu ukatibu mkuu na kurudi kufundisha
Itakuwa kwa ajili ya kizazi chake, watoto wake labda wananyukwaWazee Uwa Wananishangaza Sana
Mtu Umekuwa Waziri Zaidi Ya Miaka 15 Unabembeleza Ili Iweje ?
Mtu Umekuwa Mtumishi Wa Umma Toka Miaka Ya 80 Uko Bado Unabembeleza Vyeo?;,
Profesor Mzima Si Ukae Tu Na Wajukuu Ule Pension( Ulichovuna)
Vijana Watafanya Kazi Gani Kama Wazee Bado Wanataka Fulsa Za Kubebwa?
inasemekana prof alitaka kwenda kumpa jamaa makavu live mule mule Magogoni ndo maana!Wazee wetu na nyinyi muachage kujifanya wajuaji.
Mark James mwandoysa aliyepata kuwa Waziri wa mda mrefu wa awamu ya tatu na ya nne inasemekana kanyimwa kibali cha kwenda kuonana na Rais toka mwezi Juni.
Chanzo cha uhakika toka watu wake wa karibu vinatabanaisha bwana mkubwa inawezekana hataki hata kumsikia achilia mbali kuonana naye.'Toka mwezi wa sita anabembeleza aonane na bwana mkubwa lakini hajapatiwa jawabu hadi hivi leo'alisema mnyetishaji wetu.
Mytake;Mwandosya ulichagua kumpinga JPM sasa ya nini unabembeleza kwenda kujikomba na kupiga magoti ilhali wewe ni mbabe!?
Huna hulifahamulo kaa kimya!Achana na mpiga ramli huyo. Mwandosya na Magu walikutana huko Tukuyu na wakaongea vizuri tu.
Mwandosya aliomba ujenzi wa barabara ya Km 17 iongezwe hadi angslau 21, lakini rais Magufuli alikubali ombi hilo ma kuongeza hadi Km 71.