Tetesi: Mwandosya kanyimwa kibali cha kuingia Ikulu toka mwezi Juni!

Mbona walionana mbeya na ombi LA Mwandosya kuhusu barabara likakubaliwa
Wambea na wapotoshaji ni wengi sana hapa JF.
Kuna watu nilishawawekea 'label', habari zao wanazoweka hapa mara nyingi sisumbuki nazo. Huyo ni mmoja wao.
 
Wazee wetu na nyinyi muachage kujifanya wajuaji.

Mark James mwandoysa aliyepata kuwa Waziri wa mda mrefu wa awamu ya tatu na ya nne inasemekana kanyimwa kibali cha kwenda kuonana na Rais toka mwezi Juni.

Chanzo cha uhakika toka watu wake wa karibu vinatabanaisha bwana mkubwa inawezekana hataki hata kumsikia achilia mbali kuonana naye.'Toka mwezi wa sita anabembeleza aonane na bwana mkubwa lakini hajapatiwa jawabu hadi hivi leo'alisema mnyetishaji wetu.

Mytake;Mwandosya ulichagua kumpinga JPM sasa ya nini unabembeleza kwenda kujikomba na kupiga magoti ilhali wewe ni mbabe!?
Ovyo ķabisa kileta mada. Ramlí za kihuni upumbavu mtupu
 
Wazee Uwa Wananishangaza Sana

Mtu Umekuwa Waziri Zaidi Ya Miaka 15 Unabembeleza Ili Iweje ?

Mtu Umekuwa Mtumishi Wa Umma Toka Miaka Ya 80 Uko Bado Unabembeleza Vyeo?;,

Profesor Mzima Si Ukae Tu Na Wajukuu Ule Pension( Ulichovuna)

Vijana Watafanya Kazi Gani Kama Wazee Bado Wanataka Fulsa Za Kubebwa?
Umeamua kuingia mtegoni na vuvuzerá la Lumumba?
 
Wewe unaona aina hii ya uongozi inayopenda kupigiwa magoti ndo aina sahihi ya uongozi?? Muda utafika tu.
Wazee wetu na nyinyi muachage kujifanya wajuaji.

Mark James mwandoysa aliyepata kuwa Waziri wa mda mrefu wa awamu ya tatu na ya nne inasemekana kanyimwa kibali cha kwenda kuonana na Rais toka mwezi Juni.

Chanzo cha uhakika toka watu wake wa karibu vinatabanaisha bwana mkubwa inawezekana hataki hata kumsikia achilia mbali kuonana naye.'Toka mwezi wa sita anabembeleza aonane na bwana mkubwa lakini hajapatiwa jawabu hadi hivi leo'alisema mnyetishaji wetu.

Mytake;Mwandosya ulichagua kumpinga JPM sasa ya nini unabembeleza kwenda kujikomba na kupiga magoti ilhali wewe ni mbabe!?
 
Wazee Uwa Wananishangaza Sana

Mtu Umekuwa Waziri Zaidi Ya Miaka 15 Unabembeleza Ili Iweje ?

Mtu Umekuwa Mtumishi Wa Umma Toka Miaka Ya 80 Uko Bado Unabembeleza Vyeo?;,

Profesor Mzima Si Ukae Tu Na Wajukuu Ule Pension( Ulichovuna)

Vijana Watafanya Kazi Gani Kama Wazee Bado Wanataka Fulsa Za Kubebwa?
Wewe umeliamini bandiko hili?
 
Wanataka kumsaidia kuendesha nchi kimkakati maana inamshinda. Sikiliza hotuba zake hazina maelekezo ya kimaono Bali ni ngonjera na majivuno tu
 
Kila Zama na kitabu chake!

Kuna platforms mingi za kuwasilisha kile alichonacho, sio lazima aonane na rais ana Kwa ana!

Atulie ajilie pensheni
Akiwashwawashwa ataitwa tu Ikuluna atatoka huko akisifia na kuunga mkono juhudi...
 
Wazee wetu na nyinyi muachage kujifanya wajuaji.

Mark James mwandoysa aliyepata kuwa Waziri wa mda mrefu wa awamu ya tatu na ya nne inasemekana kanyimwa kibali cha kwenda kuonana na Rais toka mwezi Juni.

Chanzo cha uhakika toka watu wake wa karibu vinatabanaisha bwana mkubwa inawezekana hataki hata kumsikia achilia mbali kuonana naye.'Toka mwezi wa sita anabembeleza aonane na bwana mkubwa lakini hajapatiwa jawabu hadi hivi leo'alisema mnyetishaji wetu.

Mytake;Mwandosya ulichagua kumpinga JPM sasa ya nini unabembeleza kwenda kujikomba na kupiga magoti ilhali wewe ni mbabe!?
Mwandosya huyu huyu au mwingine fake?
Walikutana Busekelo, akaomba barabara na kapewa.
 
Wazee Uwa Wananishangaza Sana

Mtu Umekuwa Waziri Zaidi Ya Miaka 15 Unabembeleza Ili Iweje ?

Mtu Umekuwa Mtumishi Wa Umma Toka Miaka Ya 80 Uko Bado Unabembeleza Vyeo?;,

Profesor Mzima Si Ukae Tu Na Wajukuu Ule Pension( Ulichovuna)

Vijana Watafanya Kazi Gani Kama Wazee Bado Wanataka Fulsa Za Kubebwa?

Siyo wastaafu wote wanakwenda Ikulu kulipa kujikomba; wengine wanakwenda kushauri kwa mstakabali mwenye wa nchi. Suala hili la kumbe nafasi ya kushauri ni muhimu zaidi sasa ambapo ushauri inatolewa hadhari unaonekana ni usaliti!
 
Achana na mpiga ramli huyo. Mwandosya na Magu walikutana huko Tukuyu na wakaongea vizuri tu.
Mwandosya aliomba ujenzi wa barabara ya Km 17 iongezwe hadi angslau 21, lakini rais Magufuli alikubali ombi hilo ma kuongeza hadi Km 71.

Inawezekana kweli walikutana kwenye mkutano wa hadhara. Hapo siyo mahali pa kushauriana.
 
Wazee Uwa Wananishangaza Sana

Mtu Umekuwa Waziri Zaidi Ya Miaka 15 Unabembeleza Ili Iweje ?

Mtu Umekuwa Mtumishi Wa Umma Toka Miaka Ya 80 Uko Bado Unabembeleza Vyeo?;,

Profesor Mzima Si Ukae Tu Na Wajukuu Ule Pension( Ulichovuna)

Vijana Watafanya Kazi Gani Kama Wazee Bado Wanataka Fulsa Za Kubebwa?
Mashamba na mali zikipigwa pin huna ujanja

(Rejea Blackmail)
 
Acha uzushi! Mwandosya hayuko hivyo Ila mnatamani awe hivyo.
 
Wazee Uwa Wananishangaza Sana

Mtu Umekuwa Waziri Zaidi Ya Miaka 15 Unabembeleza Ili Iweje ?

Mtu Umekuwa Mtumishi Wa Umma Toka Miaka Ya 80 Uko Bado Unabembeleza Vyeo?;,

Profesor Mzima Si Ukae Tu Na Wajukuu Ule Pension( Ulichovuna)

Vijana Watafanya Kazi Gani Kama Wazee Bado Wanataka Fulsa Za Kubebwa?
Mkuu achana naye mleta Uzi, ni uzushi tuu.
 
Wazee wetu na nyinyi muachage kujifanya wajuaji.

Mark James mwandoysa aliyepata kuwa Waziri wa mda mrefu wa awamu ya tatu na ya nne inasemekana kanyimwa kibali cha kwenda kuonana na Rais toka mwezi Juni.

Chanzo cha uhakika toka watu wake wa karibu vinatabanaisha bwana mkubwa inawezekana hataki hata kumsikia achilia mbali kuonana naye.'Toka mwezi wa sita anabembeleza aonane na bwana mkubwa lakini hajapatiwa jawabu hadi hivi leo'alisema mnyetishaji wetu.

Mytake;Mwandosya ulichagua kumpinga JPM sasa ya nini unabembeleza kwenda kujikomba na kupiga magoti ilhali wewe ni mbabe!?

Naomba nipe namba ya Prof Mwandosya nimshauri cha kufanya (japo sina PhD na amenizidi umri na uzoefu)
 
Wazee wetu na nyinyi muachage kujifanya wajuaji.

Mark James mwandoysa aliyepata kuwa Waziri wa mda mrefu wa awamu ya tatu na ya nne inasemekana kanyimwa kibali cha kwenda kuonana na Rais toka mwezi Juni.

Chanzo cha uhakika toka watu wake wa karibu vinatabanaisha bwana mkubwa inawezekana hataki hata kumsikia achilia mbali kuonana naye.'Toka mwezi wa sita anabembeleza aonane na bwana mkubwa lakini hajapatiwa jawabu hadi hivi leo'alisema mnyetishaji wetu.

Mytake;Mwandosya ulichagua kumpinga JPM sasa ya nini unabembeleza kwenda kujikomba na kupiga magoti ilhali wewe ni mbabe!?
Mkubwa hapangi aonane na nani na asionane na nani mkuu. Ukienda official kuna watu kwa ajili ya kazi hiyo. Hata ukienda kama ndugu vivo hivyo. Wao ndo wanaamua na wakati mwingi hata yeye hafahamu.
 
Kwa Mwandosya ninayemjua,uzi wako ni ramli. Probably the only Prof aliyebakia ukiachana na wale waliookotwa majalalani.
Hahahahahaaaaa! Unawadanganya. Hana issue kama watanzania wenye akili kama za kwako.
 
Back
Top Bottom