KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Wambea na wapotoshaji ni wengi sana hapa JF.Mbona walionana mbeya na ombi LA Mwandosya kuhusu barabara likakubaliwa
Ovyo ķabisa kileta mada. Ramlí za kihuni upumbavu mtupuWazee wetu na nyinyi muachage kujifanya wajuaji.
Mark James mwandoysa aliyepata kuwa Waziri wa mda mrefu wa awamu ya tatu na ya nne inasemekana kanyimwa kibali cha kwenda kuonana na Rais toka mwezi Juni.
Chanzo cha uhakika toka watu wake wa karibu vinatabanaisha bwana mkubwa inawezekana hataki hata kumsikia achilia mbali kuonana naye.'Toka mwezi wa sita anabembeleza aonane na bwana mkubwa lakini hajapatiwa jawabu hadi hivi leo'alisema mnyetishaji wetu.
Mytake;Mwandosya ulichagua kumpinga JPM sasa ya nini unabembeleza kwenda kujikomba na kupiga magoti ilhali wewe ni mbabe!?
Rubbish.Vuvuzera la LumumbaHuna hulifahamulo kaa kimya!
Umeamua kuingia mtegoni na vuvuzerá la Lumumba?Wazee Uwa Wananishangaza Sana
Mtu Umekuwa Waziri Zaidi Ya Miaka 15 Unabembeleza Ili Iweje ?
Mtu Umekuwa Mtumishi Wa Umma Toka Miaka Ya 80 Uko Bado Unabembeleza Vyeo?;,
Profesor Mzima Si Ukae Tu Na Wajukuu Ule Pension( Ulichovuna)
Vijana Watafanya Kazi Gani Kama Wazee Bado Wanataka Fulsa Za Kubebwa?
Achana mchimvi huyoMbona walionana mbeya na ombi LA Mwandosya kuhusu barabara likakubaliwa
Wazee wetu na nyinyi muachage kujifanya wajuaji.
Mark James mwandoysa aliyepata kuwa Waziri wa mda mrefu wa awamu ya tatu na ya nne inasemekana kanyimwa kibali cha kwenda kuonana na Rais toka mwezi Juni.
Chanzo cha uhakika toka watu wake wa karibu vinatabanaisha bwana mkubwa inawezekana hataki hata kumsikia achilia mbali kuonana naye.'Toka mwezi wa sita anabembeleza aonane na bwana mkubwa lakini hajapatiwa jawabu hadi hivi leo'alisema mnyetishaji wetu.
Mytake;Mwandosya ulichagua kumpinga JPM sasa ya nini unabembeleza kwenda kujikomba na kupiga magoti ilhali wewe ni mbabe!?
Wewe umeliamini bandiko hili?Wazee Uwa Wananishangaza Sana
Mtu Umekuwa Waziri Zaidi Ya Miaka 15 Unabembeleza Ili Iweje ?
Mtu Umekuwa Mtumishi Wa Umma Toka Miaka Ya 80 Uko Bado Unabembeleza Vyeo?;,
Profesor Mzima Si Ukae Tu Na Wajukuu Ule Pension( Ulichovuna)
Vijana Watafanya Kazi Gani Kama Wazee Bado Wanataka Fulsa Za Kubebwa?
Akiwashwawashwa ataitwa tu Ikuluna atatoka huko akisifia na kuunga mkono juhudi...Kila Zama na kitabu chake!
Kuna platforms mingi za kuwasilisha kile alichonacho, sio lazima aonane na rais ana Kwa ana!
Atulie ajilie pensheni
Huyo mzushi.Mbona walionana mbeya na ombi LA Mwandosya kuhusu barabara likakubaliwa
Mwandosya huyu huyu au mwingine fake?Wazee wetu na nyinyi muachage kujifanya wajuaji.
Mark James mwandoysa aliyepata kuwa Waziri wa mda mrefu wa awamu ya tatu na ya nne inasemekana kanyimwa kibali cha kwenda kuonana na Rais toka mwezi Juni.
Chanzo cha uhakika toka watu wake wa karibu vinatabanaisha bwana mkubwa inawezekana hataki hata kumsikia achilia mbali kuonana naye.'Toka mwezi wa sita anabembeleza aonane na bwana mkubwa lakini hajapatiwa jawabu hadi hivi leo'alisema mnyetishaji wetu.
Mytake;Mwandosya ulichagua kumpinga JPM sasa ya nini unabembeleza kwenda kujikomba na kupiga magoti ilhali wewe ni mbabe!?
Akikujibu hii unitag.Mbona walionana mbeya na ombi LA Mwandosya kuhusu barabara likakubaliwa
Wazee Uwa Wananishangaza Sana
Mtu Umekuwa Waziri Zaidi Ya Miaka 15 Unabembeleza Ili Iweje ?
Mtu Umekuwa Mtumishi Wa Umma Toka Miaka Ya 80 Uko Bado Unabembeleza Vyeo?;,
Profesor Mzima Si Ukae Tu Na Wajukuu Ule Pension( Ulichovuna)
Vijana Watafanya Kazi Gani Kama Wazee Bado Wanataka Fulsa Za Kubebwa?
Achana na mpiga ramli huyo. Mwandosya na Magu walikutana huko Tukuyu na wakaongea vizuri tu.
Mwandosya aliomba ujenzi wa barabara ya Km 17 iongezwe hadi angslau 21, lakini rais Magufuli alikubali ombi hilo ma kuongeza hadi Km 71.
Mashamba na mali zikipigwa pin huna ujanjaWazee Uwa Wananishangaza Sana
Mtu Umekuwa Waziri Zaidi Ya Miaka 15 Unabembeleza Ili Iweje ?
Mtu Umekuwa Mtumishi Wa Umma Toka Miaka Ya 80 Uko Bado Unabembeleza Vyeo?;,
Profesor Mzima Si Ukae Tu Na Wajukuu Ule Pension( Ulichovuna)
Vijana Watafanya Kazi Gani Kama Wazee Bado Wanataka Fulsa Za Kubebwa?
Mkuu achana naye mleta Uzi, ni uzushi tuu.Wazee Uwa Wananishangaza Sana
Mtu Umekuwa Waziri Zaidi Ya Miaka 15 Unabembeleza Ili Iweje ?
Mtu Umekuwa Mtumishi Wa Umma Toka Miaka Ya 80 Uko Bado Unabembeleza Vyeo?;,
Profesor Mzima Si Ukae Tu Na Wajukuu Ule Pension( Ulichovuna)
Vijana Watafanya Kazi Gani Kama Wazee Bado Wanataka Fulsa Za Kubebwa?
Wazee wetu na nyinyi muachage kujifanya wajuaji.
Mark James mwandoysa aliyepata kuwa Waziri wa mda mrefu wa awamu ya tatu na ya nne inasemekana kanyimwa kibali cha kwenda kuonana na Rais toka mwezi Juni.
Chanzo cha uhakika toka watu wake wa karibu vinatabanaisha bwana mkubwa inawezekana hataki hata kumsikia achilia mbali kuonana naye.'Toka mwezi wa sita anabembeleza aonane na bwana mkubwa lakini hajapatiwa jawabu hadi hivi leo'alisema mnyetishaji wetu.
Mytake;Mwandosya ulichagua kumpinga JPM sasa ya nini unabembeleza kwenda kujikomba na kupiga magoti ilhali wewe ni mbabe!?
Mkubwa hapangi aonane na nani na asionane na nani mkuu. Ukienda official kuna watu kwa ajili ya kazi hiyo. Hata ukienda kama ndugu vivo hivyo. Wao ndo wanaamua na wakati mwingi hata yeye hafahamu.Wazee wetu na nyinyi muachage kujifanya wajuaji.
Mark James mwandoysa aliyepata kuwa Waziri wa mda mrefu wa awamu ya tatu na ya nne inasemekana kanyimwa kibali cha kwenda kuonana na Rais toka mwezi Juni.
Chanzo cha uhakika toka watu wake wa karibu vinatabanaisha bwana mkubwa inawezekana hataki hata kumsikia achilia mbali kuonana naye.'Toka mwezi wa sita anabembeleza aonane na bwana mkubwa lakini hajapatiwa jawabu hadi hivi leo'alisema mnyetishaji wetu.
Mytake;Mwandosya ulichagua kumpinga JPM sasa ya nini unabembeleza kwenda kujikomba na kupiga magoti ilhali wewe ni mbabe!?
Hahahahahaaaaa! Unawadanganya. Hana issue kama watanzania wenye akili kama za kwako.Kwa Mwandosya ninayemjua,uzi wako ni ramli. Probably the only Prof aliyebakia ukiachana na wale waliookotwa majalalani.