Tetesi: Mwandosya kanyimwa kibali cha kuingia Ikulu toka mwezi Juni!

Wewe mtoa mada ulizaliwa na mwanamke malaya ndo maana una akili kidogo Kama K ya Jokate.
Mwandosya naye ni mshenz tu Kama wewe, unabembeleza kuonana na Binadamu atakayekufa na kuoza Kama wewe, kwani akionana na Magufuli siku zake za kuishi Duniani zitaongezeka?
Pumbavu zako na Mwandosya wako
 
Shauri ya mudomo mudomo ,mudomo wako baba !!!!!!!
 
Acha uongo walionana mby hebu toa uthibitisho kwanza wa kuwa kakataliwa
 
Kwa Mwandosya ninayemjua,uzi wako ni ramli. Probably the only Prof aliyebakia ukiachana na wale waliookotwa majalalani.
Na profesa Juma Kapuya utamuacha wapi???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Nadhani humjui Prof Mwandosya!
Unajiongelea tu
 
Whether aliuza ttcl au la, ila yeye ni prof asiyeokotwa jalalani
Ndugu mimi sijapinga uwezo maana taarifa zake ni nazo ila nimeuliza huyo Prof ndio yule aliyeuza ttcl au ni Mwingine au nia yako ni kutueleza kwamba yeye ni mali zaidi kuliko walio okotwa jalalani? ?? Na ambaye alishindwa "akili" na JK mwenye Gentlemen pass na akamweka "Ikulu"
 

Ikulu ni peponi kwamba usipoingia basi utakuwa motoni?
 
Huyo unaye muongelea ni mwandosya wa kuchonga tunanaemjua sisi hawezi bembeleza,ana misimamo take usipokubaluana Nate yeye anakuachia offisi muulize Jk wakiwa wizara ya nishati,wewe sema nahamu kushikia akisema chochote.
 
hizi ni hoja chonganishi.....!
 
Kwani kwenda kumuona Rais ni kuurithi ufalme Wa milele!!!??

Siamini kama Mwandosya anatabia ya kujipendekeza kwa mtu! Hasa mtu mwenyewe akiwa huyu!!
 
Tuishie hapo kwa leo
Your browser is not able to display this video.
 
Prof. Mwandosya wewe ni prof. nguli unaeshimika sana sana, angali usiwe kama yule 'propesa pumba wa bgrn malapa'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…