Mwanga: Basi kampuni ya Mvungi limepata ajali eneo la Msangeni. Watu 7 wafariki dunia

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
18,223
Reaction score
31,465
Mabasi mabovu,yanamaliza raia mwanga!

--
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi kampuni ya Mvungi walilokuwa wakisafiria kupinduka katika milima ya Pare, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro, Jeremiah Mkomagi amethibitisha kupokea taarifa ya ajali hiyo asubuhi hii, Aprili 3, 2025 na kwamba wapo njiani kuelekea eneo la tukio.

Aidha amesema basi hilo lilikuwa likitokea Ugweno, wilayani humo kuelekea jijini Dar es Salaam.

UPDATES: WATU SABA WAFARIKI DUNIA
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema watu saba wamefariki dunia na wengine wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la Mvungi na gari dogo kwenye eneo la Ugweno Wilaya Mwanga Mkoa wa Kilimamjaro.

Akizungumza na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Babu amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa moja asubuni leo Aprili 03, 2025 wakati basi hilo la Mvungi lilipokuwa likitokea Ugweno kuelekea Dar es Salaam.

RC Babu amesema jitihada zinaendelea kunyanyua basi hilo ili kubaini kama kuna miili ama majeruhi.

IMG-20250403-WA0020.jpg
 
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi kampuni ya Mvungi walilokuwa wakisafiria kupinduka katika milima ya Pare, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro, Jeremiah Mkomagi amethibitisha kupokea taarifa ya ajali hiyo asubuhi hii, Aprili 3, 2025 na kwamba wapo njiani kuelekea eneo la tukio.

Aidha amesema basi hilo lilikuwa likitokea Ugweno, wilayani humo kuelekea jijini Dar es Salaam.
1743662279468.png
 
Waha Wana mkakati Gani kudhibiti hizi ajali????
1. Vifo ni vingi sana
2. Walemavu ni wengi sana
3. Yatima na wajane wanaongezeka kwa Kasi sana.
,Umaskini kwenye familia hula unaenea Kwa Kasi sana.
Wanapigiwa debe sana kuwa viongozi ila ihatuoni jitihada zao, kumkomboa madkini na hizi ajali.
 
Attachments

  • IMG-20250403-WA0032.jpg
    IMG-20250403-WA0032.jpg
    39 KB · Views: 40
  • IMG-20250403-WA0031.jpg
    IMG-20250403-WA0031.jpg
    71.6 KB · Views: 47
Mikaa ya 2000 hadi 2003,nimepanda sana hayo basi,nikiyavizia hapo kikwenii...kipindi barabara sio lamii,watoto washingatiniii wapo humuuu aka wajukuu wa kavuyeee
 
Mabasi mabovu,yanamaliza raia mwanga!

--
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi kampuni ya Mvungi walilokuwa wakisafiria kupinduka katika milima ya Pare, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro, Jeremiah Mkomagi amethibitisha kupokea taarifa ya ajali hiyo asubuhi hii, Aprili 3, 2025 na kwamba wapo njiani kuelekea eneo la tukio.

Aidha amesema basi hilo lilikuwa likitokea Ugweno, wilayani humo kuelekea jijini Dar es Salaam.

da!! inawezekana dereva alistua KISUNGURA kabla hajaanza safari,,manake kilimanjaro m2 akiamka tu!! cha kwanz pombe kali,,,but all in all RIP!!
 
Back
Top Bottom