peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Awanusuru vipi, je kama wameshafariki? Aendelee kuwanusuru?Mungu awanusuru na umauti
Kwa nini unasema hivyo?Nimeamini uchawi upon!
Nimeamini uchawi upo! Hizi zilikuwa zimpate chura kiziwi akiwa humo,akashtuka!Kunani mwanga na same? Ajali zimefululiza
duh!Nimeamini uchawi upo! Hizi zilikuwa zimpate chura kiziwi akiwa humo,akashtuka!
da!! inawezekana dereva alistua KISUNGURA kabla hajaanza safari,,manake kilimanjaro m2 akiamka tu!! cha kwanz pombe kali,,,but all in all RIP!!Mabasi mabovu,yanamaliza raia mwanga!
--
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi kampuni ya Mvungi walilokuwa wakisafiria kupinduka katika milima ya Pare, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro, Jeremiah Mkomagi amethibitisha kupokea taarifa ya ajali hiyo asubuhi hii, Aprili 3, 2025 na kwamba wapo njiani kuelekea eneo la tukio.
Aidha amesema basi hilo lilikuwa likitokea Ugweno, wilayani humo kuelekea jijini Dar es Salaam.