Mwanga ni nuru? Je Giza ni nini? Vyanzo vyake je?

Mwanga ni nuru? Je Giza ni nini? Vyanzo vyake je?

Naomba kuongezea swali hapa.
Tofauti ya mianga, mwanga na nuru ni nin ukitoa ile tofauti ya matamshi.[emoji56]
Kwa mtazamo na uelewa wangu binafsi tena hafifu naweza sema mianga ni mwonekano wa mwanga zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja au wakati tofauti kutegemea na namna huyo mwonaji alivyo weza kuona, tena anaweza kuitofautisha labda kwa rangi nk. Nuru ni mwanga mkali zaidi unaoweza kuonekana kuzidi mwanga mwingine unao onekana kwa wakati huohuo hata ukaweza kuona ziada yake. Asante
 
Mwanga una vyanzo vingi kama vile jua, mwezi, n.k je vipi kuhusu giza huletwa na vyanzo vipi? Giza ni nini hasa? Je kuna uvumbuzi wowote wa vifaa viletavyo giza? Karibuni.
Giza ni ukosefu wa nuru..!
 
Giza ni kuziba mwanga, hivyo kupatwa kwa giza ni pale unapozuia mwanga
 
Tukiwa tunaendelea na mjadala wetu, kwani giza halisafiri kwa spidi kama mwanga?
 
Giza ni kuziba mwanga, hivyo kupatwa kwa giza ni pale unapozuia mwanga
mkuu sijauliza kuhusu kupatwa kwa giza, nimeuliza maana ya giza ni ipi? Tuna vifaa vingi vitoavyo mwanga, je hakuna ugunduzi wowote wa kisayansi wenye uwezo wa kuzalisha giza kwa matumizi fulani?
 
giza Is the natural color of space...
bado swali hili ni tata hasa ukija ktk upande wa nini huzalisha giza..?
kwa tafsiri ninazoziona wengi wanaelezea giza kupitia mwanga kwani giza haliwezi kusimama lenyewe kama lenyewe..?
kwanza giza limetawala eneo kubwa la universe tofauti na mianga hivyo sidhani kama halijitegemei ila kushindwa kwetu kujua source yake si kwamba hakuna chanzo chake!.
 
Mwanga una vyanzo vingi kama vile jua, mwezi, n.k je vipi kuhusu giza huletwa na vyanzo vipi? Giza ni nini hasa? Je kuna uvumbuzi wowote wa vifaa viletavyo giza? Karibuni.
Giza ndio asili ya mwanga
 
Tukiwa tunaendelea na mjadala wetu, kwani giza halisafiri kwa spidi kama mwanga?
linaweza kusafiri pale utowekaji wa mwanga unavyotokea na lenyewe ktk sekunde hiyohiyo linatokea.
giza linaexist eneo kubwa la universe naweza sema kote!
na giza linaexist kabla ya mwanga,namaanisha mwanga unaweza kusafiri kwa muda fulani kutoka eneo moja kwenda jingine lkn giza lipo kila tone ya sekunde ndio maana nikasema ni natural color of space
 
Nuru ni uhai na inaangaza gizani na mchana pia. Naposema kuna nuru gizani inamaana kuna uhai na mwanga gizani. Giza lawezakuwa mambo maovu ambayo mwanadamu anayafanya kwa hiyo Mungu hupeleka nuru ili kuondoa ule uovu wa mwanadamu.
 
Back
Top Bottom