sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Ila kipo kinachoitwa Dark cio?Hakuna kitu kinaitwa giza mkuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kipo kinachoitwa Dark cio?Hakuna kitu kinaitwa giza mkuu...
mwezi ni mweziKwa hiyo mwezi ni kitu gani hasa? Ningependa kufahamu
Kwenye biblia, inaeleza, Mungu aliumba aliumba Nuru, akaiita Nuru ni mchana na giza usiku. Mungu akaumba mianga tena. Sasa tofauti hpo ni nin?Kwa mtazamo na uelewa wangu binafsi tena hafifu naweza sema mianga ni mwonekano wa mwanga zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja au wakati tofauti kutegemea na namna huyo mwonaji alivyo weza kuona, tena anaweza kuitofautisha labda kwa rangi nk. Nuru ni mwanga mkali zaidi unaoweza kuonekana kuzidi mwanga mwingine unao onekana kwa wakati huohuo hata ukaweza kuona ziada yake. Asante
Biblia ndo inajichanganya kabisa..Kwenye biblia, inaeleza, Mungu aliumba aliumba Nuru, akaiita Nuru ni mchana na giza usiku. Mungu akaumba mianga tena. Sasa tofauti hpo ni nin?
Mwanzo 1:3,4,5,13
.Kwa maelezo haya inaonekana hapa mwanga ndiyo unaojongea ama vipi?
Utaelewa tu usijali.
Weka nyama zaidi hapa sijakupata[emoji115]
Upo mkuu nikionaga sura hii huwa najisikiaga faraja sana sijui kwa nininiliadhibiwa na mwalimu wangu Sisimba kwa kuuliza swali hili.
kumbe kwa kizungu maana hupatikanagiza ni asili ya namna ulimwengu ulivyokuwa kabla ya kufanyiwa marekebisho ( either by God or human being).
Giza ni kiashiria cha kukosekana kwa nishati ya mwanga, giza haliwezi likapimwa katika quantity measurements,
Dark is nothing from nothing, and it's a concetration of air molecules with no energy abundance in their neutral status.
Mwanga una vyanzo vingi kama vile jua, mwezi, n.k je vipi kuhusu giza huletwa na vyanzo vipi? Giza ni nini hasa? Je kuna uvumbuzi wowote wa vifaa viletavyo giza? Karibuni.
Thread closed!Giza ni kukosekana kwa mwanga. Mwanga usipokuwepo ndio kunakuwa na Giza.
Nina upako wa billion USD nitakupa sehemu ya upako wanguUpo mkuu nikionaga sura hii huwa najisikiaga faraja sana sijui kwa nini
Hapo hakuna jibu sahii ni sawa mtu akulize kati ya KUKU na YAI kipi kilianza.Mwanga una vyanzo vingi kama vile jua, mwezi, n.k je vipi kuhusu giza huletwa na vyanzo vipi? Giza ni nini hasa? Je kuna uvumbuzi wowote wa vifaa viletavyo giza? Karibuni.