Mwanga ni nuru? Je Giza ni nini? Vyanzo vyake je?

Mwanga ni nuru? Je Giza ni nini? Vyanzo vyake je?

Kwa mtazamo na uelewa wangu binafsi tena hafifu naweza sema mianga ni mwonekano wa mwanga zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja au wakati tofauti kutegemea na namna huyo mwonaji alivyo weza kuona, tena anaweza kuitofautisha labda kwa rangi nk. Nuru ni mwanga mkali zaidi unaoweza kuonekana kuzidi mwanga mwingine unao onekana kwa wakati huohuo hata ukaweza kuona ziada yake. Asante
Kwenye biblia, inaeleza, Mungu aliumba aliumba Nuru, akaiita Nuru ni mchana na giza usiku. Mungu akaumba mianga tena. Sasa tofauti hpo ni nin?
Mwanzo 1:3,4,5,13
 
Kwenye biblia, inaeleza, Mungu aliumba aliumba Nuru, akaiita Nuru ni mchana na giza usiku. Mungu akaumba mianga tena. Sasa tofauti hpo ni nin?
Mwanzo 1:3,4,5,13
Biblia ndo inajichanganya kabisa..
 
giza ni asili ya namna ulimwengu ulivyokuwa kabla ya kufanyiwa marekebisho ( either by God or human being).
Giza ni kiashiria cha kukosekana kwa nishati ya mwanga, giza haliwezi likapimwa katika quantity measurements,
Dark is nothing from nothing, and it's a concetration of air molecules with no energy abundance in their neutral status.
kumbe kwa kizungu maana hupatikana
 
The light exist but darkness does not exist ...simply, absence of light.

Formula ya kutengeneza mwanga ipo lakini hakuna formula ya kutengeneza giza.

Kwa hiyo hata wale wanaosema 'nguvu ya giza' ni kama haipo bali inatokea pale tabia njema (virtues) zisipokuwepo.
Hii kitu imekuwa ikitumika sana na wahubiri kuwatisha waumini, wanapenda kutoa mifano ya uwepo wa Mungu na shetani kitu ambacho hawawezi kukieleza vizuri Ndio maana Pope Francis ambaye yuko wazi sana na anafikiri kwa ufasaha keshasema kuwa hakuna jehanamu.
 
chukulia dunia kama sphere (sijui kwa kiswahili ni nini)
jua haliwezi kumulika dunia yote kwa wakati mmoja kuna sehemu ya dunia itakua na mwanga na sehemu ya dunia itakua katika giza
ndio maana sehemu moja panaweza pakawa asubuhi saa tatu ilihali huku kwetu ndo tuna futuru
 
Great Thinker Wa Jf Hao. Ndo Madhara Ya Kua Great Thinker Af Genuine Certficate But Fake Education.
 
Soma kuhusu "dark matter", "dark energy", "protons", "nucleus", "antimatter".

Utafaidika sana.
 
Mwanga una vyanzo vingi kama vile jua, mwezi, n.k je vipi kuhusu giza huletwa na vyanzo vipi? Giza ni nini hasa? Je kuna uvumbuzi wowote wa vifaa viletavyo giza? Karibuni.
Hapo hakuna jibu sahii ni sawa mtu akulize kati ya KUKU na YAI kipi kilianza.

Sababu ukiangalia chanzo cha Giza ni baada ya mwanga kukosekana na kuonekana kwa mwanga inamaana Giza limetoweka.

Ataivyo kwa wale tunao amini Mungu uwa tuna sema mwanga nikiwakilishi cha Mungu na Giza ni kiwakilishi cha Shetani.

Na palipo na mwanga Giza utoweka atakama Giza ni kubwa kiasi gani lakini ukiwasha mshumaa lote utoweka
 
Mulize aliye umba mbingu na akaweka usiku na mchana. Alafu jitahidi kusoma vitabu Vya dini utapata jibu. Hakuna swali lisilo na jibu wewe
 
Back
Top Bottom