Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Yaani binadamu tumekuwa watu wabaya kuzidi wanyama kama Simba maana wao hawakulani.Ni kweli na Kuna ile kuwekea bond kitu Kwa mtu mwisho kina kuwa chake mazima hauwezi kugomboa miaka nenda rudi
Sent using Jamii Forums mobile app