joka la kibisa huwa halina madhara,(kibisa ni ngoma za asili)miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na vikundi vya utamaduni,eg;DDC KIBISA,MAKUTANO DANCING TROUPE,MUUNGANO CULTURE TROUPE NA VINGINEVYO,BAADHI YA VIKUNDI HIVYO VILITUMIA NYOKA KUTOA BURUDANI.Hivi joka la Kibisa ndo nini hasa.?