Mwangwi mkubwa; Vita ya mabinti na wamama (mashangazi)

Mwangwi mkubwa; Vita ya mabinti na wamama (mashangazi)

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kama kuna watani wa jadi wengine wasiotajwa sana basi ni hizi mbari mbili

Mabinti under 25

Wamama( mashangazi) over 40

Kesi ya binti under 18 aliyebakwa na kulawitiwa na vijana under 30

Refer ule Mziki wa bongo fleva uliokuwa unaimba wakati wa kurekodi lile tukio.. 'Mwana kayataka'
Mtaani kuna vita kubwa sana kati ya Wamama na mabinti wabichi, chuchu konzi, chuchu saa sita, chuchu msimamo... Asilimia 90 ya hawa mabinti wanatembea na wababa watu wazima wenye familia na mahusiano rasmi. Hili ni pigo kubwa kwa Wamama

Hawa kina mama nao ambao kwa asilimia kubwa wako kwenye ndoa, mahusiano rasmi ama wajane baada ya kuona matendo ya mabinti wakaamua kulipiza kwa vijana wa kiume maarufu kama vibenteni na mario.. Lakini bado wakazidiwa nguvu na mabinti na kupigwa tatu bila..!
Afande Malya aliyesababisha mijadala mikubwa leo na hatimaye kutumbuliwa alikuwa kiwakilishi cha kaliba yake na akaongea ya moyoni sehemu isiyo sahihi

Ukitaka kuthibitisha hili niambie ni wamama wangapi walijitojekeza waziwazi bila maslahi ya kisiasa kupaza sauti na kulaani lile tukio? Fanzine katika umoja na uhilisia wao ndio walikuwa mstari wa mbele hata sasa..!
Wababa ni wepesi mno ku move on wanapopigwa chini na vibinti lakini si wamama mishangazi .. Noma na nongwa yao si ya dunia hii...!

Afande Mallya kwa asilimia nyingi ni mganga kwenye hili.. Katumbuliwa kutokana na ukweli wake wa moyo lakini badala ya kumsaidia ameongezewa sononi, hasira na visasi dhidi ya mabinti... Tukumbuke nje ya mavazi rasmi ya kazini ni mwanamke mshangazi kama wengine.

The war is on...!
Good night Tanganyika❤📌🔨 My beloved country!

20240819_083650.jpg
20240819_083644.jpg
 
Someone should have reminded RPC Mallya that "A soft word turns away wrath, but harsh words words stirs up anger"
She was out of her nerves and she never knew that the mic was on open air
View attachment 3074362
Kwaajili tu ya kumlinda shosti wake,
Moto ukawaka tokea juu
Katika hali ya kushangaza tunaambiwa watuhumiwa ghafla wamefikishwa mahakamani na kesi itaendeshwa kwa siku 5 mfulurizo
A rush cover up and trying to win public sympathy.. Kwa mara ya kwanza Jeshi kwa speed ya ajabu limeomba radhi hadharani
 
Hatua waliyomchukulia huyo kamanda ni ndogo sana.yaani kilichofanyika ni kubadilishiwa kituo Cha kazi tu lakini mshahara,posho,ulinzi,kuendeshwa,na mengineyo Bado yapo palepale.
 
Mashangazi bado wanakosea kujifananisha na mabinti wa sasa kwa kigezo cha enzi na zama zao, wanasahau kila zama zina kitabu chake.

Sisi wababa tumekubali matokeo kuwa vijana wetu wa sasa hawawezi na kamwe hawataweza kuishi kama sisi. Ndio maana tukichapiwa wake zetu na marioo, vibenten na boda boda tunajitahidi kusahau tupate usingizi mzuri na tuishi vizuri tu.

Umenikumbusha mkoa wa Tabora kuna chuo kinaitwa uhazili, chuo cha utumishi wa umma pale kuna mabinti hao chuchu saa sita walikuwa wakiwasumbua sana wmashangazi kwa kuwachukulia waume zao, unajua kilichotokea? Mashangazi kwa kutumia influence zao na vyeo vyao walianzisha genge lao la Siri kwa ajili ya kuwadhibiti wababa( waume zao) na mabinti walikuwa wakitoka na hao wanaume.

Mabinti wengi walifanyiwa ukatili wa kijinsia kama kubakwa na kulawitiwa na wahuni waliolipwa pesa na mashangazi.

Kwa kifupi adui wa mwanamke katika ukatili wa kijinsia ni mwanamke mwenyewe.
 
Bila kupepesa macho, mie niko upande wa MISHANGAZI, mishangazi idumu kwa kweli, wana nafasi yao ya pekee mbinguni. Nafasi yangu ya mbinguni mie nisimame, mishangazi iliyowahi kujuana na mimi IKAE nafasi yangu, mie nitasimama hakuna tabu.
 
Someone should have reminded RPC Mallya that "A soft word turns away wrath, but harsh words words stirs up anger"
She was out of her nerves and she never knew that the mic was on open air
View attachment 3074362
Kwaajili tu ya kumlinda shosti wake,
Moto ukawaka tokea juu
Katika hali ya kushangaza tunaambiwa watuhumiwa ghafla wamefikishwa mahakamani na kesi itaendeshwa kwa siku 5 mfulurizo
A rush cover up and trying to win public sympathy..

Katika umri wa balehe ukianza mahusiano na watu wazima hutakaa uache..😂😂🤣
 
Someone should have reminded RPC Mallya that "A soft word turns away wrath, but harsh words words stirs up anger"
She was out of her nerves and she never knew that the mic was on open air
View attachment 3074362
Kwaajili tu ya kumlinda shosti wake,
Moto ukawaka tokea juu
Katika hali ya kushangaza tunaambiwa watuhumiwa ghafla wamefikishwa mahakamani na kesi itaendeshwa kwa siku 5 mfulurizo
A rush cover up and trying to win public sympathy..
HAIWEZEKAN POLISI KUCHUNGUZA TUHUMA DHIDI YA POLISI MWENZAO

Rais wa 🇹🇿 @SuluhuSamia Mwanamke,

Afande aliyetuma Wanajeshi kubaka na kumlawiti binti wa watu ni Mwanamke,

RPC Dodoma Mwanamke,

Waziri wa Maendeleo ya Jamii @Dr_DGwajima ni Mwanamke

Waziri wa Ulinzi @DrTaxs ni Mwanamke

Aliyebakwa na kulawitiwa Mwanamke.

Cha kusikitisha hawa Viongozi Wanawake wote wameshindwa kumsaidia binti wa watu kupata Haki yake, wameliacha Jeshi la Polisi lifanye linavotaka kwenye hii kesi

Jeshi la Polisi kupitia kwa RPC Dodoma inaonyesha wazi limeamua kumlinda Dada Afande ambae aliwatuma Wanajeshi wakambake na kumlawiti binti wa watu kisa tu alitembea na mme wake.

Tunahitaji Uchunguzi huru dhidi ya kesi hii ili watu wote waliohusika kumfanyia Ukatili binti wa watu wachukuliwe hatua za kisheria
 
Back
Top Bottom