nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Ulichomoka hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulichomoka hapo?
Kathaminisha Papa lake kwa hela ndefu sana
She was out of her nerves and she never knew that the mic was on open airSomeone should have reminded RPC Mallya that "A soft word turns away wrath, but harsh words words stirs up anger"
A rush cover up and trying to win public sympathy..View attachment 3074362
Kwaajili tu ya kumlinda shosti wake,
Moto ukawaka tokea juu
Katika hali ya kushangaza tunaambiwa watuhumiwa ghafla wamefikishwa mahakamani na kesi itaendeshwa kwa siku 5 mfulurizo
HAIWEZEKAN POLISI KUCHUNGUZA TUHUMA DHIDI YA POLISI MWENZAO
😂😂😂🤣Kathaminisha Papa lake kwa hela ndefu sana
Bila kupepesa macho, mie niko upande wa MISHANGAZI, mishangazi idumu kwa kweli, wana nafasi yao ya pekee mbinguni. Nafasi yangu ya mbinguni mie nisimame, mishangazi iliyowahi kujuana na mimi IKAE nafasi yangu, mie nitasimama hakuna tabu.
Kama kuna watani wa jadi wengine wasiotajwa sana basi ni hizi mbari mbili
Mabinti under 25
Wamama( mashangazi) over 40
Kesi ya binti under 18 aliyebakwa na kulawitiwa na vijana under 30
Refer ule Mziki wa bongo fleva uliokuwa unaimba wakati wa kurekodi lile tukio.. 'Mwana kayataka'
Mtaani kuna vita kubwa sana kati ya Wamama na mabinti wabichi, chuchu konzi, chuchu saa sita, chuchu msimamo... Asilimia 90 ya hawa mabinti wanatembea na wababa watu wazima wenye familia na mahusiano rasmi. Hili ni pigo kubwa kwa Wamama
Hawa kina mama nao ambao kwa asilimia kubwa wako kwenye ndoa, mahusiano rasmi ama wajane baada ya kuona matendo ya mabinti wakaamua kulipiza kwa vijana wa kiume maarufu kama vibenteni na mario.. Lakini bado wakazidiwa nguvu na mabinti na kupigwa tatu bila..!
Afande Malya aliyesababisha mijadala mikubwa leo na hatimaye kutumbuliwa alikuwa kiwakilishi cha kaliba yake na akaongea ya moyoni sehemu isiyo sahihi
Ukitaka kuthibitisha hili niambie ni wamama wangapi walijitojekeza waziwazi bila maslahi ya kisiasa kupaza sauti na kulaani lile tukio? Fanzine katika umoja na uhilisia wao ndio walikuwa mstari wa mbele hata sasa..!
Wababa ni wepesi mno ku move on wanapopigwa chini na vibinti lakini si wamama mishangazi .. Noma na nongwa yao si ya dunia hii...!
Afande Mallya kwa asilimia nyingi ni mganga kwenye hili.. Katumbuliwa kutokana na ukweli wake wa moyo lakini badala ya kumsaidia ameongezewa sononi, hasira na visasi dhidi ya mabinti... Tukumbuke nje ya mavazi rasmi ya kazini ni mwanamke mshangazi kama wengine.
The war is on...!
Good night Tanganyika❤📌🔨 My beloved country!
View attachment 3074351View attachment 3074352
Mashangazi bado wanakosea kujifananisha na mabinti wa sasa kwa kigezo cha enzi na zama zao, wanasahau kila zama zina kitabu chake.
Sisi wababa tumekubali matokeo kuwa vijana wetu wa sasa hawawezi na kamwe hawataweza kuishi kama sisi. Ndio maana tukichapiwa wake zetu na marioo, vibenten na boda boda tunajitahidi kusahau tupate usingizi mzuri na tuishi vizuri tu.
Umenikumbusha mkoa wa Tabora kuna chuo kinaitwa uhazili, chuo cha utumishi wa umma pale kuna mabinti hao chuchu saa sita walikuwa wakiwasumbua sana wmashangazi kwa kuwachukulia waume zao, unajua kilichotokea? Mashangazi kwa kutumia influence zao na vyeo vyao walianzisha genge lao la Siri kwa ajili ya kuwadhibiti wababa( waume zao) na mabinti walikuwa wakitoka na hao wanaume.
Mabinti wengi walifanyiwa ukatili wa kijinsia kama kubakwa na kulawitiwa na wahuni waliolipwa pesa na mashangazi.
Kwa kifupi adui wa mwanamke katika ukatili wa kijinsia ni mwanamke mwenyewe.
Umelogwa itakuwa aisee....😂😂😂Bila kupepesa macho, mie niko upande wa MISHANGAZI, mishangazi idumu kwa kweli, wana nafasi yao ya pekee mbinguni. Nafasi yangu ya mbinguni mie nisimame, mishangazi iliyowahi kujuana na mimi IKAE nafasi yangu, mie nitasimama hakuna tabu.
She was out of her nerves and she never knew that the mic was on open airSomeone should have reminded RPC Mallya that "A soft word turns away wrath, but harsh words words stirs up anger"
A rush cover up and trying to win public sympathy..View attachment 3074362
Kwaajili tu ya kumlinda shosti wake,
Moto ukawaka tokea juu
Katika hali ya kushangaza tunaambiwa watuhumiwa ghafla wamefikishwa mahakamani na kesi itaendeshwa kwa siku 5 mfulurizo
HAIWEZEKAN POLISI KUCHUNGUZA TUHUMA DHIDI YA POLISI MWENZAO
😂😂😂🤣Kathaminisha Papa lake kwa hela ndefu sana
Watuhumiwa walisema kwamba wametumwa na "Afande" lakini Polisi wanadai hawakutumwa na mtu. Yani Polisi wanawabishia watuhumiwa, utafikiri walikua nao. Sad.!Hisia ni kitu chakukilinda sana kisitokee sehemu isiyo sahihi, mama ni kama kajiponza hivi japo alichosema kwa uzoefu ni ukweli mtupu.
Yule binti sio preform one hiyo shule yule ni finalist kabisa

🤣🤣🤣🤣Mpaka Sasa;
Dakika 78' Mishangazi 1-3 Mabinti

labda na tako lipo, alafu pia jamaa anaweza (ku) top up na tigo 🤣Yaani papa yake ndio 750k 😂🤣🤣🤣
Semeni msemavyo mie naenda na MISHANGAZI, mishangazi ina sehemu yao mbinguni.Umelogwa itakuwa aisee....😂😂😂
Bado bei ipo juu kuliko bei ulekezi hata akitop up Na tigo 😀😀😀l
labda na tako lipo, alafu pia jamaa anaweza (ku) top up na tigo 🤣