Mwangwi mkubwa; Vita ya mabinti na wamama (mashangazi)

Someone should have reminded RPC Mallya that "A soft word turns away wrath, but harsh words words stirs up anger"
She was out of her nerves and she never knew that the mic was on open air
View attachment 3074362
Kwaajili tu ya kumlinda shosti wake,
Moto ukawaka tokea juu
Katika hali ya kushangaza tunaambiwa watuhumiwa ghafla wamefikishwa mahakamani na kesi itaendeshwa kwa siku 5 mfulurizo
A rush cover up and trying to win public sympathy..
HAIWEZEKAN POLISI KUCHUNGUZA TUHUMA DHIDI YA POLISI MWENZAO

Rais wa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ @SuluhuSamia Mwanamke,

Afande aliyetuma Wanajeshi kubaka na kumlawiti binti wa watu ni Mwanamke,

RPC Dodoma Mwanamke,

Waziri wa Maendeleo ya Jamii @Dr_DGwajima ni Mwanamke

Waziri wa Ulinzi @DrTaxs ni Mwanamke

Aliyebakwa na kulawitiwa Mwanamke.

Cha kusikitisha hawa Viongozi Wanawake wote wameshindwa kumsaidia binti wa watu kupata Haki yake, wameliacha Jeshi la Polisi lifanye linavotaka kwenye hii kesi

Jeshi la Polisi kupitia kwa RPC Dodoma inaonyesha wazi limeamua kumlinda Dada Afande ambae aliwatuma Wanajeshi wakambake na kumlawiti binti wa watu kisa tu alitembea na mme wake.

Tunahitaji Uchunguzi huru dhidi ya kesi hii ili watu wote waliohusika kumfanyia Ukatili binti wa watu wachukuliwe hatua za kisheria
Kathaminisha Papa lake kwa hela ndefu sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Bila kupepesa macho, mie niko upande wa MISHANGAZI, mishangazi idumu kwa kweli, wana nafasi yao ya pekee mbinguni. Nafasi yangu ya mbinguni mie nisimame, mishangazi iliyowahi kujuana na mimi IKAE nafasi yangu, mie nitasimama hakuna tabu.
Your browser is not able to display this video.
 
Bila kupepesa macho, mie niko upande wa MISHANGAZI, mishangazi idumu kwa kweli, wana nafasi yao ya pekee mbinguni. Nafasi yangu ya mbinguni mie nisimame, mishangazi iliyowahi kujuana na mimi IKAE nafasi yangu, mie nitasimama hakuna tabu.
Umelogwa itakuwa aisee....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Someone should have reminded RPC Mallya that "A soft word turns away wrath, but harsh words words stirs up anger"
She was out of her nerves and she never knew that the mic was on open air
View attachment 3074362
Kwaajili tu ya kumlinda shosti wake,
Moto ukawaka tokea juu
Katika hali ya kushangaza tunaambiwa watuhumiwa ghafla wamefikishwa mahakamani na kesi itaendeshwa kwa siku 5 mfulurizo
A rush cover up and trying to win public sympathy..
HAIWEZEKAN POLISI KUCHUNGUZA TUHUMA DHIDI YA POLISI MWENZAO

Rais wa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ @SuluhuSamia Mwanamke,

Afande aliyetuma Wanajeshi kubaka na kumlawiti binti wa watu ni Mwanamke,

RPC Dodoma Mwanamke,

Waziri wa Maendeleo ya Jamii @Dr_DGwajima ni Mwanamke

Waziri wa Ulinzi @DrTaxs ni Mwanamke

Aliyebakwa na kulawitiwa Mwanamke.

Cha kusikitisha hawa Viongozi Wanawake wote wameshindwa kumsaidia binti wa watu kupata Haki yake, wameliacha Jeshi la Polisi lifanye linavotaka kwenye hii kesi

Jeshi la Polisi kupitia kwa RPC Dodoma inaonyesha wazi limeamua kumlinda Dada Afande ambae aliwatuma Wanajeshi wakambake na kumlawiti binti wa watu kisa tu alitembea na mme wake.

Tunahitaji Uchunguzi huru dhidi ya kesi hii ili watu wote waliohusika kumfanyia Ukatili binti wa watu wachukuliwe hatua za kisheria
Kathaminisha Papa lake kwa hela ndefu sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Hisia ni kitu chakukilinda sana kisitokee sehemu isiyo sahihi, mama ni kama kajiponza hivi japo alichosema kwa uzoefu ni ukweli mtupu.

Yule binti sio preform one hiyo shule yule ni finalist kabisa
Watuhumiwa walisema kwamba wametumwa na "Afande" lakini Polisi wanadai hawakutumwa na mtu. Yani Polisi wanawabishia watuhumiwa, utafikiri walikua nao. Sad.!

Makachero wa kujitolea @ExMayorUbungo, @IAMartin_ na @fbuyobe waliingia kazini wakaleta taarifa kuhusu afande anayetuhumiwa kutuma vijana. Walisema ni Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) na inadaiwa alimchukua binti kutoka Dar kwenda Dodoma kuuza bar yake. Je kwanini hamkuanza kumhoji huyo mama badala ya kuconclude kwamba vijana hawakutumwa na afande?

Halafu huyo binti amekaa Dar miaka yote 17 ya maisha yake. Amesoma shule ya msingi na sekondari Dar. Huko Dom amekaa mwezi mmoja tu baada ya kuchukuliwa na huyo "afande" akauze bar yake. Kuanzia shuleni alikosoma hadi mtaani alipoishi wanasema alikua na tabia njema. How comes afike Dom na kuanza kujiuza ghafla?

Anyway, hata tuki-assume alikua anajiuza kama mnavyodai, je mtu anayejiuza ana haki ya kubakwa, kulawitiwa na kulazimishwa ngono ya makundi (gang raping)?

Halafu mwanzoni mlisema watuhumiwa ni 6 na mmekamata wanne, mkadai wawili wamejificha. Leo mnatuambia mtapandisha mahakamani watano. Je yule wa 6 mmemsamehe, au atashtakiwa tofauti na wenzake?

Kwanini Polisi mmezuia ndugu zake wasionane na viongozi wa dini wala asasi za kiraia lakini viongozi wa CCM wanaruhusiwa kumuona? Wiki iliyopita viongozi wa UVCCM walionana na ndugu zake na wakamtembelea binti huko kwenye "safe house" mlikomficha. Hii maana yake nini? Bora mngeruhusu viongozi wa dini sio hao vishohia wa CCM. Mnazingua mjue.!

Na Kwanini binti amehifadhiwa na Polisi wakati Polisi mwenzenu ndiye anatuhumiwa kutoa "order" afanyiwe uhuni? Kwa principle ya natural justice alitakiwa ahifadhiwe mbali na mikono ya Polisi maana ninyi ni watuhumiwa. Tutajuaje kama huko kwenye "safe house" mnamtisha amkane yule afande kwamba hamjui ili mjisafishe?

Nimesikitika binti mdogo anatendewa haya katika nchi ambayo Rais ni mwanamke, Waziri wa Ulinzi ni Mwanamke, RPC Dodoma ni mwanamke, mbaya zaidi hata afande anayetuhumiwa kutuma vijana ni mwanamke. Kama nafasi hizo zingekuwa za wanaume tungesema labda ni "mfumo dume", lakini je tuseme nini sasa? Eeh Mungu 😭
Credit: Malisa GJ
 
Mpaka Sasa;
Dakika 78' Mishangazi 1-3 Mabinti
🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…