Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Mfano huduma gani mkuuKwa nguo kweli ungepotea,wengi wanaenda mwanjelwa ya zamani na mfikemo,tafuta huduma ya pekee itakayo wafanya watu wapande juu badala ya kumalizana huku chini.
Dah hata mimi sina jibu.tatizo iyo sehemu imepoa,biashara yote ipo sido,kabwe na ule upande opposite na ilo soko.