Mwanjelwa Complex Mbeya : Nifungue biashara gani?

Mwanjelwa Complex Mbeya : Nifungue biashara gani?

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,198
Reaction score
3,580
Nimepata chumba katika hilo soko,ile floor ya katikati...nilitaka floor ya chini lakini zimejaa,nilipanga niweke nguo lakini kwa floor hii ya kati nguo ni changamoto.

Naombeni kujua kwa wenye kulijua soko lile,je ile floor ya kati naweza weka biashara gani ikafaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nguo kweli ungepotea,wengi wanaenda mwanjelwa ya zamani na mfikemo,tafuta huduma ya pekee itakayo wafanya watu wapande juu badala ya kumalizana huku chini.
 
Weka biashara kadhaa unazozifikiria ili watu wakushauri.
 
Back
Top Bottom