Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Aggrey Mwanri, amewahakikishia Watanzania na viongozi wa kitaifa kuwa chama hicho kinasimama kidete nyuma ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza juhudi za kuleta maendeleo nchini.
Akihutubia leo Agosti 8, 2026, katika kilele cha Maonyesho ya Sikukuu ya Wakulima (Nanenane) yaliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Nzuguni, Jijini Dodoma, Mwanri amemtaka Rais Samia kusonga mbele kwa kujiamini na bila wasiwasi wowote, akisisitiza kuwa wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini wanaunga mkono juhudi na uongozi wake.