Mwanri: Rais Samia songa mbele usiwe na wasiwasi, Watanzania nchi nzima wako nyuma yako

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Aggrey Mwanri, amewahakikishia Watanzania na viongozi wa kitaifa kuwa chama hicho kinasimama kidete nyuma ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza juhudi za kuleta maendeleo nchini.

Akihutubia leo Agosti 8, 2026, katika kilele cha Maonyesho ya Sikukuu ya Wakulima (Nanenane) yaliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Nzuguni, Jijini Dodoma, Mwanri amemtaka Rais Samia kusonga mbele kwa kujiamini na bila wasiwasi wowote, akisisitiza kuwa wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini wanaunga mkono juhudi na uongozi wake.


Your browser is not able to display this video.

​
 
Yes,
Mwanri yuko sahihi 100%πŸ™πŸ€πŸ’ͺ
 
Meaney kajichanganya sana
 
Mimi asinisemee bwana matako yake! Mzee mbona anakuwa mpumbavu kiasi hicho?
 
Anavyoshangaa sasa! Hajui anaelekea wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…