Mwanri: Rais Samia songa mbele usiwe na wasiwasi, Watanzania nchi nzima wako nyuma yako

Tumemsikia we umeleta huku km uzi ili iweje? Kwani we uko nyuma ya nani? Ya Heche? Bahati mbaya Heche hawezi kukusaidia chochote sana sana atakuomba tone, Samia ndiyo Rais wetu kwa sasa na ni kweli sote tuko pamoja na Rais wetu
 
Mazafaka atakula mtaji wake wote before he knows it!
 
Loh! Kumbe na hili limekwishakuwa mwendawazimu wa kiwango hiki! Majitu ya namna hii hayawezi kumshauri chochote cha kujenga, yanazidi kumzamisha.
 
Mzee Mwanri ni fundi sana wa siasa za majukwaani. Ana mvuto wa aina yake anapohutubia. Atatusaidia kukiimarisha chama.
 
Anaweza kuona yupo sahihi kwa maslahi yake
Ila ukweli sio wa Tanzania wote kama alivyosema huu ni uongo wa wazi
Hata anaembiwa anajua
 
🀣🀣🀣
 
Mapema yote hii umeanza kumdanganya bosi wako!
 
Mimi mbona nipo kijijini huku, na sipo nyuma yake!
 
Comedian at his best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…