Mwanya kwa kiingereza unaitwaje?

Mwanya kwa kiingereza unaitwaje?

autorun255

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
1,105
Reaction score
364
Habari ya jmos wana jamvi,

Nahitaji kisaidiwa “MWANYA“ unaitwaje kwa kidhungu
Pia “PENGO“ kwa kiinglish.
 
Mmenichanganya
Fanye kufafanua
Kama ni mwanya andika
Vile vile kama ni pengo andika
Neno hilo na linaitwaje kwa kimombo
 
Back
Top Bottom