Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,133
Diastema ni lugha gani hio?
Ni jinsi ya kutamka hilo neno Diastema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diastema ni lugha gani hio?
Kukwepa jiwe kwa kiingish wanatamkaje?
It is called midline or diastema (diastemata).
Di`a*ste"ma
Linatuka kwa wanyama wasio na meno ya juu mfano Ng'ombe. Sidhani kama kwa mwanya linafiti.
Habari ya jmos wana jamvi,
Nahitaji kisaidiwa MWANYA unaitwaje kwa kidhungu
Pia PENGO kwa kiinglish.
Habari ya jmos wana jamvi,
Nahitaji kisaidiwa MWANYA unaitwaje kwa kidhungu
Pia PENGO kwa kiinglish.
vernier caliper
The mwanya'z
The pengo'z
Whooo!
Time out,
Aiseee ndo mnanichanganya lipi ndo sahihi kutumika???
imany john
Ungetoa neno mbadala la mwanya kwa kidhungu.
tehe tehe mkuu you made my day kwakwel.