Mwanya kwa kiingereza unaitwaje?

Mwanya kwa kiingereza unaitwaje?

Nimechimbua kidogo hata kwa binadamu linatumika pia.

Diastema(plural diastemata) is a space or gap between two teeth.

Hilo limekaa kisanyansi
Hakuna neno ambalo ni lugha rahisi ya kiingereza?
 
unajifua kumtokea mdhungu nini?
pengo= dentless
mwanya=space
 
Mwanya = tooth gap,s paced-out teeth

Pengo=?? Leone Spinks smile!

81106.jpg
index.jpg
 
Back
Top Bottom