Mwanya unaniharibia mipango, nisaidieni!


mmmh mbona una mianya mingi? acha utatafuta matatizo bure koz hiyo ni uimbaji wa Mungu
 
We kasoro moja tu ya pengo inakuhangaisha, tena imejificha, ingekuwa Mungu kakujaalia kasoro za nje kaka chongo, makengeza, au ingekuwa meno yote hakuna, au kasoro nyingine yoyote isiyorekebishika ungefanyaje.
Acha kumkosoa muumba wako. Mshukuru Mungu vile ulivyo ndugu. Usitafute makubwa.
 
sisi wamasai usipokua na mwanya hujaitwa mmasai

pia unaweza kumtembelea prof lipumba umuulize ni jinsi gani alijikubali hivyohivyo
Mie sio mmasai

Lipumba kwan anamwanya?! Sijawah uona labda anaficha
 
Mbona kawaida mkuu! Kuwa na amani! Ukienda huko ndo watakuharibu sasa
 
Nenda kwa dentist akisha Fanya tathmini ikiwa ni pamoja na kuangalia kama kuna jino lililoong'olewa au LA. Dr anayeweza kufunga braces yuko Smile dental clinic iko Posta karibu Holiday Inn city centre
 
Hiyo inapaswa uwaone orthodontist. Dentist wakawaida hawafanyi teeth alignment. Ukiwaona wataweka teeth braces. Zinaanzia dola 1500. Utakaa nazo kama mwaka. Pia utakendwa at least kila miezi miwili kwa checkup. Braces, shida yake ni kuwa hutaweza kula vitu vigumu kama groundnuts au cashew, apple nk, kwa muda kidogo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…