Ndiyo maana Trump kasema Waafrica wasiende MarekaniAfu mbon hata ya juu yameachan achana tu
hahahaahahaahahahha tiba yake ni kuwa na mkwanjaa
Na hiyo mingine ikiongezeka ataziba tu,mmmh mbona una mianya mingi? acha utatafuta matatizo bure koz hiyo ni uimbaji wa Mungu
Hao ortho... nawapata wapi mkuu wangu? Kuna unayemjua unipe???Hiyo inapaswa uwaone orthodontist. Dentist wakawaida hawafanyi teeth alignment. Ukiwaona wataweka teeth braces. Zinaanzia dola 1500. Utakaa nazo kama mwaka. Pia utakendwa at least kila miezi miwili kwa checkup. Braces, shida yake ni kuwa hutaweza kula vitu vigumu kama groundnuts au cashew, apple nk, kwa muda kidogo.
Chuma sehem ya mwanya ama? Sio jino bandia mkuu?Pole sana
Kawekewe chuma Muhimbili
Kumbe sanitas wanahuduma hiyo. Asante sana mkuu.Nenda sanitas pale baraka plaza watakusaidia
Kumbe prof nae anatatzo
Jamii za wafugaj zitaje embu mkuuMkuu unaamua kumdiscourage jamaaa?
Huyu atakua anatokea kwenye moja kati ya jamii za kifugaji mana meno yao yana pengo
Aman sana bro!Mbona kawaida mkuu! Kuwa na amani! Ukienda huko ndo watakuharibu sasa
Sababu ya mwanya au?Ndiyo maana Trump kasema Waafrica wasiende Marekani
Teeth bracesChuma sehem ya mwanya ama? Sio jino bandia mkuu?
Haiumi hata kidogo. Maumivi unaweza sikia baada ya kuweka. Lakini siyo makaliNAOMBA KUULIZA HIVI UUKIWEKA HIZO BRACES KWENYE MENO HUWA AZIUMI YANI MDA SASA AMBAO DAKTARI ANAKUWEKEA HIVYO VICHUMA VIDOGO VIDOGO. NAHUWA WAKIVIWEKA NI WANATOBOA JINO AU WANAWEKA GUNDI
Hospital zote za meno wapo. Unaweza kwenda pale smile dental clinic karibu na city bank. Hata regency pia nafikiri wapo. Unaweza ukacheki kwenye mtandao. Zipo sehemu kibaoHao ortho... nawapata wapi mkuu wangu? Kuna unayemjua unipe???