Mwanya unaniharibia mipango, nisaidieni!

Mwanya unaniharibia mipango, nisaidieni!

Wakati mwingine ni kujikubali tu na kumshukuru Mungu kwa yote. Mimi pia nao kama wako halafu umepitiliza na kuyagawa meno ya chini pia, hata siku moja haijasumbua confidence yangu. Lakini kama inakupunguzia kujiamini waone wataalamu husika.
 
Hiyo inapaswa uwaone orthodontist. Dentist wakawaida hawafanyi teeth alignment. Ukiwaona wataweka teeth braces. Zinaanzia dola 1500. Utakaa nazo kama mwaka. Pia utakendwa at least kila miezi miwili kwa checkup. Braces, shida yake ni kuwa hutaweza kula vitu vigumu kama groundnuts au cashew, apple nk, kwa muda kidogo.
Hao ortho... nawapata wapi mkuu wangu? Kuna unayemjua unipe???
 
IMG_4333.JPG
IMG_4332.JPG
Chuma sehem ya mwanya ama? Sio jino bandia mkuu?
Teeth braces
 
Dentist mzuri atakuwekea " Teeth gap band " itakayobana meno vizuri. Unaweza kwenda kwny hospitali yoyote ukamwambia daktari wa meno akuwekee au fanya ordering ya hizo bands kisha uwapelekee wakufitishie kwny meno.
 
NAOMBA KUULIZA HIVI UUKIWEKA HIZO BRACES KWENYE MENO HUWA AZIUMI YANI MDA SASA AMBAO DAKTARI ANAKUWEKEA HIVYO VICHUMA VIDOGO VIDOGO. NAHUWA WAKIVIWEKA NI WANATOBOA JINO AU WANAWEKA GUNDI
 
NAOMBA KUULIZA HIVI UUKIWEKA HIZO BRACES KWENYE MENO HUWA AZIUMI YANI MDA SASA AMBAO DAKTARI ANAKUWEKEA HIVYO VICHUMA VIDOGO VIDOGO. NAHUWA WAKIVIWEKA NI WANATOBOA JINO AU WANAWEKA GUNDI
Haiumi hata kidogo. Maumivi unaweza sikia baada ya kuweka. Lakini siyo makali
 
Inawezekana kuya-adjust! Ila gharama zake ni kubwa kidgo! Kma upo dar nenda Rani Dental Clinic.
 
Back
Top Bottom