Mwanya unaniharibia mipango, nisaidieni!

Nenda pale magomeni karibu na watumishi house kuna hospital inatwa omega dental clinic ni wataalamu wa meno sanaaaa
 
Dentist mzuri atakuwekea " Teeth gap band " itakayobana meno vizuri. Unaweza kwenda kwny hospitali yoyote ukamwambia daktari wa meno akuwekee au fanya ordering ya hizo bands kisha uwapelekee wakufitishie kwny meno.
Ok, zinapatkana wapi? Hizo "band" ni spea za meno au nyuzi za kushikizia?
 
NAOMBA KUULIZA HIVI UUKIWEKA HIZO BRACES KWENYE MENO HUWA AZIUMI YANI MDA SASA AMBAO DAKTARI ANAKUWEKEA HIVYO VICHUMA VIDOGO VIDOGO. NAHUWA WAKIVIWEKA NI WANATOBOA JINO AU WANAWEKA GUNDI
Na je hua hazileti mwonekano wa kike (kishoga) kama akiwekewa mwanaume? Maana sijawah ona kwa mwanaume
 
Ok, zinapatkana wapi? Hizo "band" ni spea za meno au nyuzi za kushikizia?
Ni nyuzi za kubana meno. Nimeandika kuwa unaweza kuorder online, kwa mfano kwa kutumia ebay...lakini ni vizuri uende kwa daktari wa meno ili akufitishie.
 
Naona unapendeza tu usitoe, na ujitahidi kukenua wakati wa kucheka.
 
Mwanya ni urembo tosha.Wewe vipi ?
 
Mwanya wa kimasai huo,njoo Arusha nyumbani kakaangu!
 
Mkuu,mbona una meno kama mahindi ya masika yaliyokuzwa kwa mbolea ya Nitrate?
Bado cyo issue sana nenda Muhimbili kitengo cha meno jaribu kuonana na dentist Huyo ndyo atakupa ushaur maridhawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…