Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahah haha uumbaji tuuMarekebisho madogomadogo ni muhimu
Ok, zinapatkana wapi? Hizo "band" ni spea za meno au nyuzi za kushikizia?Dentist mzuri atakuwekea " Teeth gap band " itakayobana meno vizuri. Unaweza kwenda kwny hospitali yoyote ukamwambia daktari wa meno akuwekee au fanya ordering ya hizo bands kisha uwapelekee wakufitishie kwny meno.
Na je hua hazileti mwonekano wa kike (kishoga) kama akiwekewa mwanaume? Maana sijawah ona kwa mwanaumeNAOMBA KUULIZA HIVI UUKIWEKA HIZO BRACES KWENYE MENO HUWA AZIUMI YANI MDA SASA AMBAO DAKTARI ANAKUWEKEA HIVYO VICHUMA VIDOGO VIDOGO. NAHUWA WAKIVIWEKA NI WANATOBOA JINO AU WANAWEKA GUNDI
Thanks mkuuInawezekana kuya-adjust! Ila gharama zake ni kubwa kidgo! Kma upo dar nenda Rani Dental Clinic.
Thanks mkuu. Omega wanapokea Bina NHIF ama?Nenda pale magomeni karibu na watumishi house kuna hospital inatwa omega dental clinic ni wataalamu wa meno sanaaaa
Ndio bossThanks mkuu. Omega wanapokea Bina NHIF ama?
Ni nyuzi za kubana meno. Nimeandika kuwa unaweza kuorder online, kwa mfano kwa kutumia ebay...lakini ni vizuri uende kwa daktari wa meno ili akufitishie.Ok, zinapatkana wapi? Hizo "band" ni spea za meno au nyuzi za kushikizia?
hiyo rangi ya meno ni kutokana na dawa ya meno utumiayo ama?unaona hata mm bado haya jakaa yakabanana vizuri ko ww jikubali tu![]()
atulize wenge au sio.....bora we umejikubaliHEBU ANGALIA YANGU KWANZA ALAFU UTULIZE WENGE
View attachment 673788
Mwanya ni urembo tosha.Wewe vipi ?Wataalam,
Nina mwanya kwenye taya la chini. Mwanzo niliona kama issue ya kawaida tu coz ilikua ngumu mtu kunotice, mwanya ulikua mdogo sana. But kadiri siku zinavoenda naona unazidi kupanuka kiasi kwamba mtu asiyenifahamu leo anaweza kufikiri nimeng'oa jino (nina pengo). Sometimes ninapoongea na mtu nakosa confidence ya kumuangalia usoni au nakua nalazimisha kufumba kinywa ili mwanya usionekane.
Siufurahii kabisa hali hii na ningependa kuziba au kuadjust meno yafunge (kama inawezekana). Naomba kufahamu ni hosipitali gani au Dr yupi hapa Dsm anaweza fanya hii kazi na teknolojia ipi itatumika (kuadjust, kuweka jino la 33, n.k). Pia naomba kujulishwa gharama zake na muda utakaotumika hadi kurekebisha hii hali kama kuna anayefahamu au aliwahi fanya tiba hii.
NB:
*Jinsi yngu ni ME
*Umri early 30's
*Sijawahi ng'oa jino
![]()
Mwanya wa kimasai huo,njoo Arusha nyumbani kakaangu!Wataalam,

HahahhaMwanya wa kimasai huo,njoo Arusha nyumbani kakaangu!
Kapicha bas mkuuNiliendaga wakanambia mil 1.6 mp la mil 3.ila now nipo hivyo hivyoo
Me wa kiume, inakuaje hapo?Umependeza wala usizibe uko vizuri kabisa