Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
[emoji23]HEBU ANGALIA YANGU KWANZA ALAFU UTULIZE WENGE
View attachment 673788
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]HEBU ANGALIA YANGU KWANZA ALAFU UTULIZE WENGE
View attachment 673788
Lakini umejikubali,safi sanaHEBU ANGALIA YANGU KWANZA ALAFU UTULIZE WENGE
View attachment 673788
Mkuu we una raha sana,ukila nyama huna haja ya Stiki....usiombe kuwa na meno yaliyobananana usumbufu sanaWataalam,
Nina mwanya kwenye taya la chini. Mwanzo niliona kama issue ya kawaida tu coz ilikua ngumu mtu kunotice, mwanya ulikua mdogo sana. But kadiri siku zinavoenda naona unazidi kupanuka kiasi kwamba mtu asiyenifahamu leo anaweza kufikiri nimeng'oa jino (nina pengo). Sometimes ninapoongea na mtu nakosa confidence ya kumuangalia usoni au nakua nalazimisha kufumba kinywa ili mwanya usionekane.
Siufurahii kabisa hali hii na ningependa kuziba au kuadjust meno yafunge (kama inawezekana). Naomba kufahamu ni hosipitali gani au Dr yupi hapa Dsm anaweza fanya hii kazi na teknolojia ipi itatumika (kuadjust, kuweka jino la 33, n.k). Pia naomba kujulishwa gharama zake na muda utakaotumika hadi kurekebisha hii hali kama kuna anayefahamu au aliwahi fanya tiba hii.
NB:
*Jinsi yngu ni ME
*Umri early 30's
*Sijawahi ng'oa jino
![]()
Mwanya mkubwa ni kero mkuuMkuu we una raha sana,ukila nyama huna haja ya Stiki....usiombe kuwa na meno yaliyobananana usumbufu sana
Ushauri mzuri [emoji8]Jikubali tu mkuu
Oya ungea vitu halisi omega hawana bima yyte nimetoka hapo l ila huduma zao n superNdio boss