Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,273
Mmmmh hapo nilipogongomea msumari mie napapenda sana zaidi ya mwanya, na hasa ile ya mwisho loooo:help:
Ha ha ha ha mie napenda mwanaume anayenyoa oooooooooooo ha ha ha ha Mpasua jipu usininukuu tafadhali eehhh tumeelewana dear??? Na usisome katikati ya misitari