Mwanya, Uzuri wa asili

Bwana me huwa napata shida sana, mwanya nnao ila nadhani unawafaa sana dada zetu lakini wanaume kuwa na mwanya hapana, kila nkicheka na mtu akanambia "una mwanya" jamani nafumba mdomo haraka sana hata sijui kwanini. Ila wanawake wenye mwana mnapendeza!
 

hata wanaume mnapendeza. Usijisikie vibaya. Vitu adimu hivyo mkubwa.
 
Itabidi nikachonge meno pale Butiama kwa Mwalimu Nyerere kama ndo hivi ....Mbu
 
Reactions: Mbu
Ahaaa ahaaa Genekai umenifanya nicheke
 
mimi nikiona mwanya hata pasiwedi yangu ya JF nasahau. Asiependa mwanya lazima atakuwa kafeli form 2 tu.
 
Reactions: Mbu
Kwa wale wenye mbonyeo kwenye mashavu...kizungu wanaita dimples...hao nao vipi urembo wao hasa pale wanapo batasamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…