...If you have it, flaunt it!...Kina dada na nyie mna maoni gani kwa wanaume wenye Mwanya?
Mbu apo juu kwa wanaume hapa itakuwa kazi tena.....LOL
mwanaume haipendezi akiwa na mwaya bana..urembo wa mwanya ni mwanamke..mpenzi wangu ana mwanya siku moja nipo na marafiki zangu wakaanza kusema aaa mwanaume mwenyewe ana mwanya kugeuka pembenei mpenzi wangu ana mwanya nikakasirika sana toka siku hiyo sipendi wanaume wenye mianya haipendezi..
hujanielewa bana,,yaani mimi najua mpenzi wangu ana mwanya ila walikua wanamzungumzia mtu mwingine wanamkandia..huyo aliekua anakandia mwanya na yeye ndo kugeuka mupenzi anacheka akasema am sorry sikujua kumbe na wewee..
Kuna watakaokuambia hii ni kero na wanafanya mazoezi kuondoa au hata operation kabisa. Hivyo ndio tujue kuna individual preferences jamani.
Bottomline - nobody can say kuna kipimo standard cha uzuri.Kila binadamu ni mzuri kwa jinsi alivyoumbwa na mola wake.Majadiliano ya kuponda maumbile ya watu iwe ni mitaani au kwingineko huweza kuwafanya watu wakakosa confidence.Kumbe basi inapotokea kwamba watu wanaongelea kwa namna chanya basi hupandisha kujiamini na hii imejidhihirisha hapa.Tunaona wengi wakifurahi kuona kumbe mwanya ni kitu kizuri!
Hongera Mbu kwa ku boost confidence za watu.Ingependeza ukaanzisha mada kama hizi ili tujadili more appreciatively, mathalani uzuri wa watu tipwa tipwa, weusi tii, wembamba sana, warefu, wafupi, wenye miguu myembamba nk.
Mwanya.....mhuuum sina la kusema hapa kwani hapanihusu.
Kuna hii kitu inaitwa Macho............Jamani mie ni mdada lakini zamani kuna jicho la mtoto wa kike nliliona nalikumbuka mpaka kesho. Jamani mtoto mashallahw..... macho yalikuwa kama yanalengalenga machozi,............. ah siwezielezea!!
eeehhh....Mwj1 naomba unijibu kwa pm kama nawe una mwanya plssss,...usinidanganye ee!
...natayarisha application letter ujue!
eeehhh....Mwj1 naomba unijibu kwa pm kama nawe una mwanya plssss,...usinidanganye ee!
...natayarisha application letter ujue!