Mwanya, Uzuri wa asili

Mwanya, Uzuri wa asili

Mbu apo juu kwa wanaume hapa itakuwa kazi tena.....LOL
 
...If you have it, flaunt it!...Kina dada na nyie mna maoni gani kwa wanaume wenye Mwanya?

eddie_murphy.jpg
maisha47022a53b2a02.jpg
bobbay.jpg
Mbu apo juu kwa wanaume hapa itakuwa kazi tena.....LOL

...wapi tena kaka, nimeligeuza swali iwapo kina dada wanawazimia wakaka wenye Mwanya,
nikiona kura zimezidi nitakwenda kuchongesha 'uchochoro' kwenye meno yangu yafanane kama ya Eddie Murphy au Bobby Brown hapo juu...LOL!
 
Aisee mimi nilikuwa na mwanya...
Nikafanya utundu ukapotea..
Niliamini ni unawafaa wanawake zaidi...
Dah.....
 
Kuna ule wimbo ...ana lipsi panaaa ...akicheka ana mwanyaaa ...
 
mwanaume haipendezi akiwa na mwaya bana..urembo wa mwanya ni mwanamke..mpenzi wangu ana mwanya siku moja nipo na marafiki zangu wakaanza kusema aaa mwanaume mwenyewe ana mwanya kugeuka pembenei mpenzi wangu ana mwanya nikakasirika sana toka siku hiyo sipendi wanaume wenye mianya haipendezi..
 
Kwa wa afrika tunachukulia fresh..lakini wazungu wanachukulia ni kama abnormal hivi.
 
mwanaume haipendezi akiwa na mwaya bana..urembo wa mwanya ni mwanamke..mpenzi wangu ana mwanya siku moja nipo na marafiki zangu wakaanza kusema aaa mwanaume mwenyewe ana mwanya kugeuka pembenei mpenzi wangu ana mwanya nikakasirika sana toka siku hiyo sipendi wanaume wenye mianya haipendezi..

LOL! yaani hukujua mpenzi wako ana mwanya mpaka marafiki zako walipo comment?
You are not siriaz bana, next wakisema ana matege utachukia na miguu yake?... ha ha!
 
hujanielewa bana,,yaani mimi najua mpenzi wangu ana mwanya ila walikua wanamzungumzia mtu mwingine wanamkandia..huyo aliekua anakandia mwanya na yeye ndo kugeuka mupenzi anacheka akasema am sorry sikujua kumbe na wewee..
 
nilikua sijamalizia..mpenzi wako unamkubali kama alivyo ila akikuudhi ndo unaanza kuyachukia mabaya yake haswa maumbile yake ingawaje huwezi badilisha looohh..
 
Kuna watakaokuambia hii ni kero na wanafanya mazoezi kuondoa au hata operation kabisa. Hivyo ndio tujue kuna individual preferences jamani.
Bottomline - nobody can say kuna kipimo standard cha uzuri.Kila binadamu ni mzuri kwa jinsi alivyoumbwa na mola wake.Majadiliano ya kuponda maumbile ya watu iwe ni mitaani au kwingineko huweza kuwafanya watu wakakosa confidence.Kumbe basi inapotokea kwamba watu wanaongelea kwa namna chanya basi hupandisha kujiamini na hii imejidhihirisha hapa.Tunaona wengi wakifurahi kuona kumbe mwanya ni kitu kizuri!

Hongera Mbu kwa ku boost confidence za watu.Ingependeza ukaanzisha mada kama hizi ili tujadili more appreciatively, mathalani uzuri wa watu tipwa tipwa, weusi tii, wembamba sana, warefu, wafupi, wenye miguu myembamba nk.

Mhhhh! WoS naona unamfagilia Mbu kwa mada nzuri kama hizi. Ni kweli kabisa mada za Mbu ni nzuri mno, kila akiibuka na mada basi huleta mjadala mrefu tena wenye washiriki wengi sana, labda muda ukimruhusu anaweza kuanzisha mada hizi moja baada ya nyingine.

Umepotea sana J michango yake iliyoenda shule na kujaa hekima na busara tele bado inahitajika.
 
Mwanya.....mhuuum sina la kusema hapa kwani hapanihusu.
Kuna hii kitu inaitwa Macho............Jamani mie ni mdada lakini zamani kuna jicho la mtoto wa kike nliliona nalikumbuka mpaka kesho. Jamani mtoto mashallahw..... macho yalikuwa kama yanalengalenga machozi,............. ah siwezielezea!!
 
eeehhh....Mwj1 naomba unijibu kwa pm kama nawe una mwanya plssss,...usinidanganye ee!
...natayarisha application letter ujue!
 
eeehhh....Mwj1 naomba unijibu kwa pm kama nawe una mwanya plssss,...usinidanganye ee!
...natayarisha application letter ujue!

Lol Mbu hebu specify.....Mie sina mwanya mydia, so kama kigezo ni mwanya, nshakukosa my Openly secret admirer!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kwa wakaka kuwa na mwanya haipendezi lkni kwa kina dada inapendeza kwani huengeza mvuto na mnato kwa mtazamo wngu
 
One of those things if a woman has it.... Great.... If not... You Dont Miss It..
So its a package to person's beauty which can be associated with her other features, but if she did not have it, her beauty would not have been decreased.
 
Mwanya ni kilema

Check hiyo kutoka kwa Dentistry ( Dental therapists) watakujuza
 
Back
Top Bottom