Mwanza: Achanwa tumbo hadi kutolewa utumbo kwa kuhoji matumizi ya Tsh. 10,000 aliyoacha asubuhi

Maendeleo hayana chama
1577995772633.jpeg

CCM mbele kwa mbele
 
Hiyo itakuwa ni ofisi ya Mwenyekiti wa kitongoji aliyeteuliwa hivi karibuni. Nasikia wameambiwa lazima wapeperushe bendera ya ccm.!!!
 
Duh... nimeishia kumsikitikia huyo mwamba aisee... yani elf kumi ...

Poverty is real ...
 
Unajua 'Sky', ukiwaza kwa undani kuhusu picha hizi utaona kwamba sio "ufukara wa kutokuwa na mali", huu ni "ufukara wa akili".

Ngoja nieleze kidogo.
Ukiangalia picha zote hizi, na hasa hii niliyoi'quote', hawa watu hawakuhitaji kuwa na mali zaidi kuyafanya makazi yao yawe ya kuvutia kwa kutumia vifaa vile vile walivyotumia.

Angalia kwa mfano hii picha hapa. Huyu mtu alishindwa kitu gani kutandaza hizo nyasi juu ya paa, na badala yake kazibwaga tu huko juu bila ya mpangilio wowote!

Nadhani kuna umhimu pia viongozi wasimamie mambo ya kubadili 'attitude' za watu, ili wanapofanya jambo wasilifanye nusunusu na kuliachia katikati bila ya kulikamilisha.

Haihitaji kuwa na pesa kuyafanya makzi kama ya nyumba hii kuwa ya kuvutia, hata kama imejengwa kwa vifaa duni. Huo ukuta kwa kutumia udongo ule ule uliotumika ungeonekana kuwa ukuta wa kupendeza zaidi kuliko ulivyo, bila ya kutumia pesa yoyote.

Hili ni tatizo kubwa katika jamii yetu, na tunahitaji uongozi unaoweza kutuondoa kwenye akili lala ya aina hizi.

Na ile picha ya watoto, ndio hasa usiseme. Kweli kijiji kizima hakiwezi kikatengeneza mbadala wa hayo matofali? Viongozi kama wabunge walioko huko, hawawezi kabisa wakashirikiana na wananchi wakaondoa tatizo la kijinga kama lile?

Umaskini wetu mkubwa umo kichwani, na silazima uwe umaskini wa kukosa nyenzo za kubadili uduni wa maisha yetu.

Na la kusikitisha zaidi, watu kama huyo mwenye nyumba hiyo kwenye picha wamo wengi sana hata huko maofisini. Hawawezi wakaifanya kazi kwa ukamilifu wake. Tabia mbovu kabisa.
 
Hao wakubwa wanaotembea na ma-v8,wanaoishi kwny mahekalu ndio wakuja ku-change mindset za hawa wanaoishi kwny nyumba za nyasi?Kwani wana uchungu na hao masikini sasa.

Unatania my-friend.
Unajua 'Sky', ukiwaza kwa undani kuhusu picha hizi utaona kwamba sio "ufukara wa kutokuwa na mali", huu ni "ufukara wa akili".

Ngoja nieleze kidogo.
Ukiangalia picha zote hizi, na hasa hii niliyoi'quote', hawa watu hawakuhitaji kuwa na mali zaidi kuyafanya makazi yao yawe ya kuvutia kwa kutumia vifaa vile vile walivyotumia.

Angalia kwa mfano hii picha hapa. Huyu mtu alishindwa kitu gani kutandaza hizo nyasi juu ya paa, na badala yake kazibwaga tu huko juu bila ya mpangilio wowote!

Nadhani kuna umhimu pia viongozi wasimamie mambo ya kubadili 'attitude' za watu, ili wanapofanya jambo wasilifanye nusunusu na kuliachia katikati bila ya kulikamilisha.

Haihitaji kuwa na pesa kuyafanya makzi kama ya nyumba hii kuwa ya kuvutia, hata kama imejengwa kwa vifaa duni. Huo ukuta kwa kutumia udongo ule ule uliotumika ungeonekana kuwa ukuta wa kupendeza zaidi kuliko ulivyo, bila ya kutumia pesa yoyote.

Hili ni tatizo kubwa katika jamii yetu, na tunahitaji uongozi unaoweza kutuondoa kwenye akili lala ya aina hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wakubwa wanaotembea na ma-v8,wanaoishi kwny mahekalu ndio wakuja ku-change mindset za hawa wanaoishi kwny nyumba za nyasi?Kwani wana uchungu na hao masikini sasa.

Unatania my-friend.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sikusema kuwa ndio "watakaokuja ku-change mindset za hawa wanaoishi kwenye nyumba za nyasi". Kama umenielwa hivyo, basi hukunielewa nilichoandika.
In fact ni hao hao ninaolalamika kama unavyolalamika wewe kwa kutokuwepo kwao. Hawapo kwa sasa hivi; na hilo ni tatizo kubwa katika uongozi wa nchi yetu.

Tanzania inaweza kubadilika haraka sana tukianza kujali na kurekebisha haya tunayoona ni madogo, lakini kiuhalisi ndio matatizo makubwa tuliyo nayo. 'Mindset' ya kutojali haya madogo madogo yaliyomo kwenye uwezo wetu kuyafanya na kuyakamilisha.
 
Kwa hio mkuu kwa mtizamo wako umeona kabisa ile nyumba ya udongo ingeboreshwa kwa kutumia udongo ule ule na kupanga vizuri hizo nyasi ingekua nyumba bora sio mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hio mkuu kwa mtizamo wako umeona kabisa ile nyumba ya udongo ingeboreshwa kwa kutumia udongo ule ule na kupanga vizuri hizo nyasi ingekua nyumba bora sio mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio.
Wewe hujaona nyumba zilizoezekwa kwa nyasi na kuta zake kutengenezwa zikawa nzuri na kuwa na mwonekano mzuri wa makazi?

Kama mwenye nyumba hana uwezo wa kifedha kununua vifaa vya kisasa, hana hata akili na nguvu ya kuvitumia vilivyopo ili aweze kuwa na makazi mazuri kuliko hayo yanayoonekana kwenye picha?

Kwani "kuwa na makazi mazuri" maana yake ni nini?
 
Ni Kiongozi gani wa wanyonge anayeishi kwa mfano wa makazi hayo mazuri na yaliyoboreshwa(Nyumba ya udongo iliyoezekwa vzr kwa nyasi) ili tukaige mfano wa hio nyumba yake mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom