Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Naona kitanda cha Banco kina kutu ni hatari !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata shuka hakuna na huko chooni usishangae kuwa hakuna maji na choo kimezibaNaona kitanda cha Banco kina kutu ni hatari !
Ebu mtumie kamilioni chapchap hapo!
Maendeleo hayana chamaHata shuka hakuna na huko chooni usishangae kuwa hakuna maji na choo kimeziba
We milion si ndio atauliwa na kuchomwa kabisaaaEbu mtumie kamilioni chapchap hapo!
Hii picha watasema ni ya DRC
Hii picha watasema ni ya DRC
Hatunywi sumu hatujinyongi CCM mbele kwa mbele
Hii ni Made in Tanzania! Halafu unamkuta mtu mishipa imemkauka jukwaani akisisitiza: "Tunatoa Elimu bure..." Yaani unatamani umshushe chini kwa nguvu.1 kati ya tech. za Ki Africa,sijui ni tech ya nchi gani hii.View attachment 1310568
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua 'Sky', ukiwaza kwa undani kuhusu picha hizi utaona kwamba sio "ufukara wa kutokuwa na mali", huu ni "ufukara wa akili".
Unajua 'Sky', ukiwaza kwa undani kuhusu picha hizi utaona kwamba sio "ufukara wa kutokuwa na mali", huu ni "ufukara wa akili".
Ngoja nieleze kidogo.
Ukiangalia picha zote hizi, na hasa hii niliyoi'quote', hawa watu hawakuhitaji kuwa na mali zaidi kuyafanya makazi yao yawe ya kuvutia kwa kutumia vifaa vile vile walivyotumia.
Angalia kwa mfano hii picha hapa. Huyu mtu alishindwa kitu gani kutandaza hizo nyasi juu ya paa, na badala yake kazibwaga tu huko juu bila ya mpangilio wowote!
Nadhani kuna umhimu pia viongozi wasimamie mambo ya kubadili 'attitude' za watu, ili wanapofanya jambo wasilifanye nusunusu na kuliachia katikati bila ya kulikamilisha.
Haihitaji kuwa na pesa kuyafanya makzi kama ya nyumba hii kuwa ya kuvutia, hata kama imejengwa kwa vifaa duni. Huo ukuta kwa kutumia udongo ule ule uliotumika ungeonekana kuwa ukuta wa kupendeza zaidi kuliko ulivyo, bila ya kutumia pesa yoyote.
Hili ni tatizo kubwa katika jamii yetu, na tunahitaji uongozi unaoweza kutuondoa kwenye akili lala ya aina hizi.
Mimi sikusema kuwa ndio "watakaokuja ku-change mindset za hawa wanaoishi kwenye nyumba za nyasi". Kama umenielwa hivyo, basi hukunielewa nilichoandika.Hao wakubwa wanaotembea na ma-v8,wanaoishi kwny mahekalu ndio wakuja ku-change mindset za hawa wanaoishi kwny nyumba za nyasi?Kwani wana uchungu na hao masikini sasa.
Unatania my-friend.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hio mkuu kwa mtizamo wako umeona kabisa ile nyumba ya udongo ingeboreshwa kwa kutumia udongo ule ule na kupanga vizuri hizo nyasi ingekua nyumba bora sio mkuu?Mimi sikusema kuwa ndio "watakaokuja ku-change mindset za hawa wanaoishi kwenye nyumba za nyasi". Kama umenielwa hivyo, basi hukunielewa nilichoandika.
In fact ni hao hao ninaolalamika kama unavyolalamika wewe kwa kutokuwepo kwao. Hawapo kwa sasa hivi; na hilo ni tatizo kubwa katika uongozi wa nchi yetu.
Tanzania inaweza kubadilika haraka sana tukianza kujali na kurekebisha haya tunayoona ni madogo, lakini kiuhalisi ndio matatizo makubwa tuliyo nayo. 'Mindset' ya kutojali haya madogo madogo yaliyomo kwenye uwezo wetu kuyafanya na kuyakamilisha.
Ndio.Kwa hio mkuu kwa mtizamo wako umeona kabisa ile nyumba ya udongo ingeboreshwa kwa kutumia udongo ule ule na kupanga vizuri hizo nyasi ingekua nyumba bora sio mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio.
Wewe hujaona nyumba zilizoezekwa kwa nyasi na kuta zake kutengenezwa zikawa nzuri na kuwa na mwonekano mzuri wa makazi?
Kama mwenye nyumba hana uwezo wa kifedha kununua vifaa vya kisasa, hana hata akili na nguvu ya kuvitumia vilivyopo ili aweze kuwa na makazi mazuri kuliko hayo yanayoonekana kwenye picha?
Kwani "kuwa na makazi mazuri" maana yake ni nini?