Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
Airport yenyewe Kibanda ya MakaaMwanza na KIA ipi ni ya pili boss?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Airport yenyewe Kibanda ya MakaaMwanza na KIA ipi ni ya pili boss?
Unamaanisha zanzibar nchi au?Why not Zanzibar?
LOL kwani mikoa mingine Tanzania hazipo?Unamaanisha zanzibar nchi au?
Manake ninavyojua zenji wana ofisi za uhamiaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona siku hizi kuna pass za kutoka dar kwenda arushaLOL kwani mikoa mingine Tanzania hazipo?
hatuhitaji passport kuingia Zanzibar!
HaahaLOL kwani mikoa mingine Tanzania hazipo?
Mi pia sihitaji passport kuingia ugandahatuhitaji passport kuingia Zanzibar!
ila passport ya Zanzibar na Tanzania Mainland ni moja! A thing u don't share with Uganda!
Nadhani mpka hapo umeshanielewaila passport ya Zanzibar na Tanzania Mainland ni moja! A thing u don't share with Uganda!
Nimekuelewa nn ?
Huwa najiuliza Sana sipati majibu hivi GVT waliamuaje amuaje Kujenga SONGWE international Airport wakaacha Kuboresha Mwanza!!Hata Tanzania tuna bogus airport za songwe na chato
MY TAKE
Hivi Kisumu International Airport inaruka kwenda wapi nje ya Kunyaland?
#UkaidiwaKagame#
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala @kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
kwani umeambiwa Mbeya haina potential? Mwanza na Mbeya wapi kuna fertile soils? Uvuvi Lake Nyasa? Ubaya wa uwanja wa Songwe Mbeya ni rushwa ya serikali ya Kikwete ila kuna potentials kubwa sana kule hata kwa madini tofauti tofauti japokuwa dhahabu ni kidogo na the area is general underexplored n -exploited!Huwa najiuliza Sana sipati majibu hivi GVT waliamuaje amuaje Kujenga SONGWE international Airport wakaacha Kuboresha Mwanza!!
Typed Using KIDOLE
kwani huoni uwanja ukifanya kazi? mbona swali la kipoyoyo?Geza maendeleo ya uwanja wa mwanza vipi? Au ndo corona, ujenzi umesimama??
Sent using Jamii Forums mobile app
Jengo la abiria ndo lililobakia na ndo lipo linajengwa.Geza maendeleo ya uwanja wa mwanza vipi? Au ndo corona, ujenzi umesimama??
Sent using Jamii Forums mobile app