Mwanza: Baadhi ya viongozi wamshauri Heche asisitize kesi ya Lissu ipelekwe haraka na si kuitisha maandamano

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mwanza wameushauri uongozi wa juu wa chama hicho, hususan Makamu Mwenyekiti John Heche, kutafuta njia mbadala za kuharakisha kesi ya Mwenyekiti wao Tundu Lissu badala ya kuendelea kusisitiza maandamano.

Viongozi hao wamesema kuwa hatua ya maandamano inaweza kuongeza mvutano wa kisiasa bila kuleta suluhisho la haraka katika suala hilo.

Wameeleza kuwa maandamano yanaweza kuchochea vurugu badala ya suluhu, hivyo wameshauri bora kuzingatia sheria na taratibu zilizopo katika kutatua migogoro

PIa soma: John Heche: Tusiposikilizwa, tutaitikisa nchi kwa maandamano; Lissu aachiwe huru
 
View attachment 3571208

yaani mwanachama wa kawaida wa chadema masalia ana akili kubwa, hekima na busara ya juu zaidi kuliko makamu mwenyekiti wa chadema masalia taifa? hii ni maajabu.

kisayansi ni kwamba,
huyo muungwana anapinga wito wa maandamano nonsense ya heche, na anawajaza hofu wanachadema na kuwahamasisha wanachadema masalia kutokuthubutu kuitikia wito useless wa maandamano nonsense ya heche mvuta bangi.

wanachadema hao wanaona,
chadema masalia kua chini ya heche ni hasara na madhara yake wanayaona.
 
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mwanza wameushauri uongozi wa juu wa chama hicho, hususan Makamu Mwenyekiti John Heche, kutafuta njia mbadala za kuharakisha kesi ya Mwenyekiti wao Tundu Lissu badala ya kuendelea kusisitiza maandamano.

Viongozi hao wamesema kuwa hatua ya maandamano inaweza kuongeza mvutano wa kisiasa bila kuleta suluhisho la haraka katika suala hilo.

Wameeleza kuwa maandamano yanaweza kuchochea vurugu badala ya suluhu, hivyo wameshauri bora kuzingatia sheria na taratibu zilizopo katika kutatua migogoro

View attachment 3571208

PIa soma: John Heche: Tusiposikilizwa, tutaitikisa nchi kwa maandamano; Lissu aachiwe huru
Hoja ya kipuuzi kuzidi upuuzi wenyewe.. Anajichqnganya huku na kule!
Maamuzi sio ya Heche ni ya chama! Kama ni ushauri angepeleka kwenye vikao vya chama
Huyu ni mpuuzi kama wale wapuuzi wengine
 
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mwanza wameushauri uongozi wa juu wa chama hicho, hususan Makamu Mwenyekiti John Heche, kutafuta njia mbadala za kuharakisha kesi ya Mwenyekiti wao Tundu Lissu badala ya kuendelea kusisitiza maandamano.

Viongozi hao wamesema kuwa hatua ya maandamano inaweza kuongeza mvutano wa kisiasa bila kuleta suluhisho la haraka katika suala hilo.

Wameeleza kuwa maandamano yanaweza kuchochea vurugu badala ya suluhu, hivyo wameshauri bora kuzingatia sheria na taratibu zilizopo katika kutatua migogoro

View attachment 3571208
Huu ni ushauri wa busara sana!. Kumbe Chadema pia kuna watu wenye busara!.
Hoja sasa ni je wenye busara hawa, watasikilizwa?
P
 
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mwanza wameushauri uongozi wa juu wa chama hicho, hususan Makamu Mwenyekiti John Heche, kutafuta njia mbadala za kuharakisha kesi ya Mwenyekiti wao Tundu Lissu badala ya kuendelea kusisitiza maandamano.

Viongozi hao wamesema kuwa hatua ya maandamano inaweza kuongeza mvutano wa kisiasa bila kuleta suluhisho la haraka katika suala hilo.

Wameeleza kuwa maandamano yanaweza kuchochea vurugu badala ya suluhu, hivyo wameshauri bora kuzingatia sheria na taratibu zilizopo katika kutatua migogoro

View attachment 3571208

PIa soma: John Heche: Tusiposikilizwa, tutaitikisa nchi kwa maandamano; Lissu aachiwe huru
Mpuuzi huyu tumpuuze.
 
Huu ni ushauri wa busara sana!. Kumbe Chadema pia kuna watu wenye busara!.
Hoja sasa ni je wenye busara hawa, watasikilizwa?
P
Wewe kama muandishi mkongwe,nilitegemea uchambue hyo habari between the lines au hamfanyi investigative journalisim? Huwa mnaripoti tu chochote?..unaisukumaje serikali iharakishe kesi? Kwa njia zipi?

Natabiri huyu atahamia ccm muda siyo mrefu.
 
Na inawezekana akawa ni kada wa CCM kavaa tu hiyo T shirt ya Chadema ili kuleta mtafaruku kama ilivyokuwa kwa wake wakatoliki wa kuchovya waliokwenda ubalozi wa Vatican kumshitaki Dr. Kitima. CCM wana mbinu za kizamani sana.
 
Back
Top Bottom