Mwanza: Baadhi ya viongozi wamshauri Heche asisitize kesi ya Lissu ipelekwe haraka na si kuitisha maandamano

Mwanza: Baadhi ya viongozi wamshauri Heche asisitize kesi ya Lissu ipelekwe haraka na si kuitisha maandamano

Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mwanza wameushauri uongozi wa juu wa chama hicho, hususan Makamu Mwenyekiti John Heche, kutafuta njia mbadala za kuharakisha kesi ya Mwenyekiti wao Tundu Lissu badala ya kuendelea kusisitiza maandamano.

Viongozi hao wamesema kuwa hatua ya maandamano inaweza kuongeza mvutano wa kisiasa bila kuleta suluhisho la haraka katika suala hilo.

Wameeleza kuwa maandamano yanaweza kuchochea vurugu badala ya suluhu, hivyo wameshauri bora kuzingatia sheria na taratibu zilizopo katika kutatua migogoro

View attachment 3571208

PIa soma: John Heche: Tusiposikilizwa, tutaitikisa nchi kwa maandamano; Lissu aachiwe huru
Naona hawa hawatofautiani na Jecha kudhamiria.
Wanachatofautiana ni namna ya uwasilishaji pekee.
 
Back
Top Bottom