Dini gani huyo? Au dini ya waliokuwa hawajasoma?Kuna harufu ya usaliti hapa, pesa za 'mama' kupitia Wenje zimemfikia!.
Kuna vikundi toka mikoa mbalimbali vimeandaliwa na watawala vijifanye viongozi na wanachama wa chadema kupinga kauli ya John Heche . Puzeni maigizo hayo.Kuna harufu ya usaliti hapa, pesa za 'mama' kupitia Wenje zimemfikia!.
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mwanza wameushauri uongozi wa juu wa chama hicho, hususan Makamu Mwenyekiti John Heche, kutafuta njia mbadala za kuharakisha kesi ya Mwenyekiti wao Tundu Lissu badala ya kuendelea kusisitiza maandamano.
Viongozi hao wamesema kuwa hatua ya maandamano inaweza kuongeza mvutano wa kisiasa bila kuleta suluhisho la haraka katika suala hilo.
Wameeleza kuwa maandamano yanaweza kuchochea vurugu badala ya suluhu, hivyo wameshauri bora kuzingatia sheria na taratibu zilizopo katika kutatua migogoro
View attachment 3571208
PIa soma: John Heche: Tusiposikilizwa, tutaitikisa nchi kwa maandamano; Lissu aachiwe huru
yaani mwanachama wa kawaida wa chadema masalia ana akili kubwa, hekima na busara ya juu zaidi kuliko makamu mwenyekiti wa chadema masalia taifa? hii ni maajabu.Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mwanza wameushauri uongozi wa juu wa chama hicho, hususan Makamu Mwenyekiti John Heche, kutafuta njia mbadala za kuharakisha kesi ya Mwenyekiti wao Tundu Lissu badala ya kuendelea kusisitiza maandamano.
Viongozi hao wamesema kuwa hatua ya maandamano inaweza kuongeza mvutano wa kisiasa bila kuleta suluhisho la haraka katika suala hilo.
Wameeleza kuwa maandamano yanaweza kuchochea vurugu badala ya suluhu, hivyo wameshauri bora kuzingatia sheria na taratibu zilizopo katika kutatua migogoro
View attachment 3571208
PIa soma: John Heche: Tusiposikilizwa, tutaitikisa nchi kwa maandamano; Lissu aachiwe huru
Hoja ya kipuuzi kuzidi upuuzi wenyewe.. Anajichqnganya huku na kule!Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mwanza wameushauri uongozi wa juu wa chama hicho, hususan Makamu Mwenyekiti John Heche, kutafuta njia mbadala za kuharakisha kesi ya Mwenyekiti wao Tundu Lissu badala ya kuendelea kusisitiza maandamano.
Viongozi hao wamesema kuwa hatua ya maandamano inaweza kuongeza mvutano wa kisiasa bila kuleta suluhisho la haraka katika suala hilo.
Wameeleza kuwa maandamano yanaweza kuchochea vurugu badala ya suluhu, hivyo wameshauri bora kuzingatia sheria na taratibu zilizopo katika kutatua migogoro
View attachment 3571208
PIa soma: John Heche: Tusiposikilizwa, tutaitikisa nchi kwa maandamano; Lissu aachiwe huru
Huu ni ushauri wa busara sana!. Kumbe Chadema pia kuna watu wenye busara!.Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mwanza wameushauri uongozi wa juu wa chama hicho, hususan Makamu Mwenyekiti John Heche, kutafuta njia mbadala za kuharakisha kesi ya Mwenyekiti wao Tundu Lissu badala ya kuendelea kusisitiza maandamano.
Viongozi hao wamesema kuwa hatua ya maandamano inaweza kuongeza mvutano wa kisiasa bila kuleta suluhisho la haraka katika suala hilo.
Wameeleza kuwa maandamano yanaweza kuchochea vurugu badala ya suluhu, hivyo wameshauri bora kuzingatia sheria na taratibu zilizopo katika kutatua migogoro
View attachment 3571208
Mpuuzi huyu tumpuuze.Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mwanza wameushauri uongozi wa juu wa chama hicho, hususan Makamu Mwenyekiti John Heche, kutafuta njia mbadala za kuharakisha kesi ya Mwenyekiti wao Tundu Lissu badala ya kuendelea kusisitiza maandamano.
Viongozi hao wamesema kuwa hatua ya maandamano inaweza kuongeza mvutano wa kisiasa bila kuleta suluhisho la haraka katika suala hilo.
Wameeleza kuwa maandamano yanaweza kuchochea vurugu badala ya suluhu, hivyo wameshauri bora kuzingatia sheria na taratibu zilizopo katika kutatua migogoro
View attachment 3571208
PIa soma: John Heche: Tusiposikilizwa, tutaitikisa nchi kwa maandamano; Lissu aachiwe huru
https://www.facebook.com/Kama tukiamua kuwa wazi, Lugha ya maneno imeshindwa kufanya kazi. Hakuna neno jipya utawaambia CCM wakakuelewa. Lakini kuna mlolongo wa vitendo vipya kibao, ambao vikiwa applied vitabidili mioyo yao.
Na wewe tunakupuuza tu.Huu ni ushauri wa busara sana!. Kumbe Chadema pia kuna watu wenye busara!.
Hoja sasa ni je wenye busara hawa, watasikilizwa?
P
Atakuwa Bakwata huyu.Dini gani huyo? Au dini ya waliokuwa hawajasoma?
Ushauri kwenye vyombo vya habari? kwa nini isiwe kwenye vikao vya chama? maneno matupu hayavunji mfupaHuu ni ushauri wa busara sana!. Kumbe Chadema pia kuna watu wenye busara!.
Hoja sasa ni je wenye busara hawa, watasikilizwa?
P
Huyo ameshalambishwa asali na siku si nyingi utamsikia ameunga juhudi za majizi ya kura.Ushauri kwenye vyombo vya habari? kwa nini isiwe kwenye vikao vya chama? maneno matupu hayavunji mfupa
Wewe kama muandishi mkongwe,nilitegemea uchambue hyo habari between the lines au hamfanyi investigative journalisim? Huwa mnaripoti tu chochote?..unaisukumaje serikali iharakishe kesi? Kwa njia zipi?Huu ni ushauri wa busara sana!. Kumbe Chadema pia kuna watu wenye busara!.
Hoja sasa ni je wenye busara hawa, watasikilizwa?
P
Na inawezekana akawa ni kada wa CCM kavaa tu hiyo T shirt ya Chadema ili kuleta mtafaruku kama ilivyokuwa kwa wake wakatoliki wa kuchovya waliokwenda ubalozi wa Vatican kumshitaki Dr. Kitima. CCM wana mbinu za kizamani sana.Wewe kama muandishi mkongwe,nilitegemea uchambue hyo habari between the lines au hamfanyi investigative journalisim? Huwa mnaripoti tu chochote?..unaisukumaje serikali iharakishe kesi? Kwa njia zipi?
Natabiri huyu atahamia ccm muda siyo mrefu.