Mwanza: Baadhi ya viongozi wamshauri Heche asisitize kesi ya Lissu ipelekwe haraka na si kuitisha maandamano

Naona hawa hawatofautiani na Jecha kudhamiria.
Wanachatofautiana ni namna ya uwasilishaji pekee.
 
Wewe kama muandishi mkongwe,nilitegemea uchambue hyo habari between the lines au hamfanyi investigative journalisim? Huwa mnaripoti tu chochote?..unaisukumaje serikali iharakishe kesi? Kwa njia zipi?

Natabiri huyu atahamia ccm muda siyo mrefu.
Huyu ni mwana CCM atahamia ccm kivipi?
 
Ushauri kwenye vyombo vya habari? kwa nini isiwe kwenye vikao vya chama? maneno matupu hayavunji mfupa
Heche alitoa kauli kwenye vikao vya chama?..kuna umbali kiasi gani kwa washauri kuvifikia vikao vya chama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…