Kwa miezi ya karibuni bili za maji kwa wateja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) zimekuwa juu mno na hatujui ni sababu gani.
Mimi nafikiria gharama ya maji yanayopotea njiani yanajumuishwa kwa wateja. Siyo mimi tu ninayelalamika kadhia hii imewakumba wateja wengi.
Tunaiomba MWAUWASA watoke kwenye vyombo vya habari na kueleza ni sababu gani bili zao zimekuwa juu sana kwa siku za karibuni.