Mwanza: Bomoabomoa yaacha Machinga na vilio

Hapo kinachowafanya walie ni kwamba walizowea kufanya biashara na kuingiza kipato kikubwa bila kulipa kodi huku wakibebwa na lile jina la wanyonge lakini ukweli wengi wao ni wafanyabishara wanaostahili kulipa kodi,sasa wachukue fremu maeneo ya biashara wafanye biashara walipe kodi hakuna janja janja tena.
 
Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa.

Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana...
YAANI WEWE MTOA MADA HUNA AKILI TIMAMU MTU KAAMIWA AHAME KAPEWA MUDA WA KUHAMA MPAKA ANAKUJA KUBOMOLEWA BADO UNAMHURUMIA?

SI ALIKUWA ANAIJARIBU SERIKALI KWANI HAWAKUAMBIWA WAHAME? WANATAKA HURUMA KWA UBISHI WAO?
 
Uelewa wake ni mdogo sana, Platform ya wapinzani kulisemea hili ni ipi kwa sasa? Awatengenezee jukwaa juu ya banda lake la umachinga halafu awatafutie ulinzi wasikamatwe na polisi. Wanadhani kuwa mpinzani wa kweli nchi hii ni jambo la mchezo.
 
Sijui niwe upande upi ila rehema za MUNGU ziwe juu ya wote
1. Watoto wa machinga wanaitaji kula
2.Watoto wa wenye fremu wanaitaji kula pia
3.Serikali inataka Kodi na ushuru na wenye fremu ndio walipaji
4.Machinga kapanga bidhaa mbele ya mwenye fremu
5.Magari hayana njia Wala parking kisa machinga hence wenye magari hawawezi kununua kwenye fremu
 
Uelewa wake ni mdogo sana, Platform ya wapinzani kulisemea hili ni ipi kwa sasa? Awatengenezee jukwaa juu ya banda lake la umachinga halafu awatafutie ulinzi wasikamatwe na polisi. Wanadhani kuwa mpinzani wa kweli nchi hii ni jambo la mchezo.
Hahahaa!hilo banda washaling'oa tayari haitowezkanaa...kilichopo atulie tu dawa imuingiee...walijiona sanaa kpnd cha mzee..sasa wanavuna walichopanda
 
Weka siasa kando
 
Machinga zaidi ya 5,000 waliopo katika eneo la Makoroboi jijini Mwanza licha ya kutii agizo la Mkuu wa Mkoa huo Mhandisi Robert Gabriel la kuwataka kupisha katika eneo hilo wamemlilia Rais Samia kwani wamevunja vibanda vyao na hawana eneo mbadala la kufanyia biashara zao.


Mmoja wa machinga akilia mara baada ya kuvunja kibanda chake

Machinga hao ambao walioamua kutii agizo hilo huku wakisema hawajui wapi wanaelekea baada ya maeneo waliyopangiwa kujaa, kilio chao wanakielekeza kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Hapo jan Mkuu wa Mkoa huo Mhandisi Robert Gabriel jana Oktoba 21, 2021, alitoa muda wa saa 24 kwa wafanyabiashara ndogo ndogo wa eneo hilo kuondoka na kwenda kwenye maeneo rasmi waliyotengewa.
 
wawe wavumilivu serikali katili ya CCM itafyeka pori na kuwapeleka huko wakafanye biashara.
Usiseme katili sema serikali ya watu inayowasikiliza watu wake inampango endelevu , uko kwenye hatua ya upempuzi yakinifu, watapata eneo labda karibu na ziwa waendelee na shughuli zao.

LAKINI BWANA YULEE ALISEMA WAKATI WA JK, HILI NI BOMU KAMA TAIFA HALITAKUWA MAKINI. SASA WAKATI UNANYEMELEAQ KWA SPIDI YA MWANGA.
 
Wakome kuishangilia CCM na serikali yake sasa ndo wameiona. Walidanganywa na mpenda sofa Sasa wanakabiliana na hali halisi. Acha waisome nambaeeeeeeee......

CCM mbele kwa mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…