Mwanza: Bomoabomoa yaacha Machinga na vilio

Yulee mzee wa kwanza kasema Mungu kama anasikia afanye lolote?anamaanisha nn☹️
E0bu_0lWYAQUMy0 - Copy.png
 
usiseme katili sema serikali ya watu inayowasikiliza watu wake inampango endelevu , uko kwenye hatua ya upempuzi yakinifu, watapata eneo labda karibu na ziwa waendelee na shughuli zao. LAKINI BWANA YULEE ALISEMA WAKATI WA JK, HILI NI BOMU KAMA TAIFA HALITAKUWA MAKINI. SASA WAKATI UNANYEMELEAQ KWA SPIDI YA MWANGA.
Serikali katili ya CCM iliwatapeli hao machinga na itaendelea kuwatapeli kila uchaguzi utakapokaribia full stop.
 
Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa.

Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.

Leo ndio wanamlilia Mungu? Machinga walikuwa wanadharau kusali walikuwa hawaendi kanisani wala msikitini kutwa umachinga tu!!

Sasa tutarajie kuona makanisa na misikiti ikijaa machinga kusali kwa sana wakisali Sala ndeeefu kuliko waliowakuta !!!
 
Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa.

Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.

Hivi vilio vya kinafki havisaidii.... lazima waondoke. Eti wanyonge...
 
Leo ndio wanamlilia Mungu? Machinga walikuwa wanadharau kusali walikuwa hawaendi kanisani wala msikitini kutwa umachinga tu!!

Sasa tutarajie kuona makanisa na misikiti ikijaa machinga kusali kwa sana
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wafate utaratibu na watii maagizo ya serikali

Wakipewa muda watajisahau

Ova
 
Si kila sehemu tufanye biashara.
Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa.

Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.

Hivi vyama vya upinzani viko wapi kwenye hii issue?? hapo ndio unagundua upinzani wa bongo ni zero kabisa. Sasa mpaka wamsubiri huyo mkimbizi wao alieko belgium aone kwa video ndio halafu aombe interview bbc au deutsche welle. Upinzani bongo mavi kabisa na hautashika dola milele, maana issue ya wamachinga ingewajazia kura...
Upinzani mnawakumbuka mkiwa na shida , wao wakiwahitaji mko wapi ?!
 
Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa.

Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.

Huelewekagi.......ww
ama unaona aibu kusema wazi kwamba kwenye hili ulimuunga mkono mwendazake
 
Hivi vyama vya upinzani viko wapi kwenye hii issue?? hapo ndio unagundua upinzani wa bongo ni zero kabisa. Sasa mpaka wamsubiri huyo mkimbizi wao alieko belgium aone kwa video ndio halafu aombe interview bbc au deutsche welle. Upinzani bongo mavi kabisa na hautashika dola milele, maana issue ya wamachinga ingewajazia kura...
Wee mpumbavu sana ulitaka vyama vifanye nini? Ninyi si ndiyo mliokuwa mnamuabudu Magufuli kama mungu wenu?
 
Back
Top Bottom