Mwanza: Bomoabomoa yaacha Machinga na vilio

Serikali katili ya CCM iliwatapeli hao machinga na itaendelea kuwatapeli kila uchaguzi utakapokaribia full stop.
 
Leo ndio wanamlilia Mungu? Machinga walikuwa wanadharau kusali walikuwa hawaendi kanisani wala msikitini kutwa umachinga tu!!

Sasa tutarajie kuona makanisa na misikiti ikijaa machinga kusali kwa sana wakisali Sala ndeeefu kuliko waliowakuta !!!
 

Hivi vilio vya kinafki havisaidii.... lazima waondoke. Eti wanyonge...
 
Leo ndio wanamlilia Mungu? Machinga walikuwa wanadharau kusali walikuwa hawaendi kanisani wala msikitini kutwa umachinga tu!!

Sasa tutarajie kuona makanisa na misikiti ikijaa machinga kusali kwa sana
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wafate utaratibu na watii maagizo ya serikali

Wakipewa muda watajisahau


Ova
 
Si kila sehemu tufanye biashara.
 
Upinzani mnawakumbuka mkiwa na shida , wao wakiwahitaji mko wapi ?!
 
Huelewekagi.......ww
ama unaona aibu kusema wazi kwamba kwenye hili ulimuunga mkono mwendazake
 
Wee mpumbavu sana ulitaka vyama vifanye nini? Ninyi si ndiyo mliokuwa mnamuabudu Magufuli kama mungu wenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…