Wakome kuishangilia CCM na serikali yake sasa ndo wameiona. Walidanganywa na mpenda sofa Sasa wanakabiliana na hali halisi. Acha waisome nambaeeeeeeee......
CCM mbele kwa mbele.
Japo huwa sikubaliani na wew kwenye ishu za Jiwe lakini hili umesema ukweli, yawezekana wameona wasiwe na ndimi mbili labda. [emoji106]Makoroboi si kama kariakoo. Wangewaacha tu hao wa makoroboi. Hakuna barabara za waenda kwa miguu hapo.
Kafie mbali rudi kwenu ila kupanga bidhaa hovyo noooo hata kije chama ganCCM itaendelea kuongoza nchii hii. Sababu kubwa ni kwamba hatuna chama mbadala.
we zumbukuku acha kukejeli watu kisa una visimbi vya chainizimlizoea kubebwa na hilo lijamaa lenu, sasa halipo tii sheria, ondoa uchafu mjini
kwa hiyo machinga sio watz^utakuwa indalahamwe au una vinasaba vya kihutuUkiona kiongozi anawekwa madarakani na Machinga basi huyo atakuwa kiongozi wa hovyo kupata kutokea (mfano tunao)
Hapo kuna barabara ya kupita magari hao machinga walikuja kuvamia tuMakoroboi si kama kariakoo. Wangewaacha tu hao wa makoroboi. Hakuna barabara za waenda kwa miguu hapo.
Mpaka unamwagikaMama yao anaupiga mwingi...
Jamaa haelewi kuwa CCM haiitaji kura za machinga kwasababu wanajua wanauwezo wa kuingia madarakani kwa kura za wizi.Utafanya nini?
Upinzani haupo kwaajili ya kuvunja sheria kenge weweHivi vyama vya upinzani viko wapi kwenye hii issue?? hapo ndio unagundua upinzani wa bongo ni zero kabisa. Sasa mpaka wamsubiri huyo mkimbizi wao alieko belgium aone kwa video ndio halafu aombe interview bbc au deutsche welle. Upinzani bongo mavi kabisa na hautashika dola milele, maana issue ya wamachinga ingewajazia kura...
Watu hawajui tu, kwa level ya maisha hawa wapinzani wametuzidi sisi wachimba chumvi kwa kiasi kikubwa sana. (maana wanaposema wapinzani hawatutetei ni wazi wanarefer viongozi wa upinzani na sio watu wa kawaida ambao ni wanachama. Level ya shida za viongozi wapinzani ni tofauti na hao machinga, kwa kiasi kikubwa wao ugali sio tatizo tena, matibabu si tatizo, nyumba na magari vilevile hata kukopesheka wanakopesheka.Namimi nasema wapinzani waendelee na mambo yao waachache na hii operation ya wamachinga,hawa ndio walikuwa viherehere kutoa matamko sijui wamachinga nchi nzima tunamuunga mkono yule Bwana aliyetangulizwa kuzimu,acha wale matunda ya uchaguzi wao
Mmesahau tayari kuwa 99.9% mpo Chama tawala.Huo ni uganga sasa wa kienyeji kuwataka wapinzani.Hivi vyama vya upinzani viko wapi kwenye hii issue?? hapo ndio unagundua upinzani wa bongo ni zero kabisa. Sasa mpaka wamsubiri huyo mkimbizi wao alieko belgium aone kwa video ndio halafu aombe interview bbc au deutsche welle. Upinzani bongo mavi kabisa na hautashika dola milele, maana issue ya wamachinga ingewajazia kura...
Halafu habari utakuwa unatoa wewe ?Hizi media nazo zidhibitiwe, wao ndio wakwanza kusema nchi ni chafu na haina mpangilio
Walipewa maeneo kule mlango mmojaWOTE TUKO NCHI HII
KUSEMA HAMKUPEWA TAARIFA NI UONGO MBELE YA MUNGU;
KUSEMA HAMKUPEWA SEHEMU YA KWENDA NI UONGO MBELE YA MUNGU
Mwandishi wa hii habari ni mchochezi na hana maana yoyote- si mkweli
MmhMpaka unamwagika